Dependence has been institutionalised in Tanzania

Dependence has been institutionalised in Tanzania

Mtoboasiri

JF-Expert Member
Joined
Aug 6, 2009
Posts
5,101
Reaction score
1,952
Wajameni,

Kuna siku niliipongeza ccm hapa ukumbini kwa kuifanya Tanzania nchi ya omba omba. Jana BBC walirusha hewani documentary ya mzungu mmoja anaeishi karibu na Kilimanjaro National Park na anasema kuomba Tanzania kumerasimishwa.

Narudia tena pongezi zangu za dhati kwa wana magamba kwa kutufanya tuonekane omba omba WA kimataifa.
 
Back
Top Bottom