Depression inaniathiri, nakaribia kujiua

Ukiniona hata Mimi nna Bonge la tege Kama banio la ugali vile... Lakini nakomaa kuwaaminisha watu tege langu Ni zuri na Ni fashion Sasa hivi watu wanajitegesha na wao Kama Mimi. [emoji41][emoji16]
[emoji16][emoji16][emoji16]eti banio la ugali

Humu mna vituko

Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app
 
Pole but Ben Paul alisema jikubali you can be a hero ina maana kitendo cha kuwapuuzia tu hao washenzi wanaojiona wao ndio wapo kamili basi umeshinda na kua shujaa. Mfano albinism wana nyanyapaliwa na watu inafikia kabisa mtu anasema cheki dili hili very bad lakini wapo kawaida na wana maisha yao cha msingi we jikubali mtu akiongea we mpuuze fanya kama usikii Fanya yako ila ukisikiliza ndio yana kuumiza pole sana.
 

ngoja nikuambie, kweli kabisa sio ya kutunga, kuna familia moja, baba na wanawe wana masikio makubwa kweli, kiasi ambacho wakitembea mbele wewe ukiwa nyuma unachokiona ni masikio kwao kwanza, na wapo okay tuu. kwenye mitandao wamejaa teleee hawakosekani.
sasa siku moja, mtoto wao mmoja akanambia, unajua sababu gani mama angu nywele zake huwa anaziachia upande wa kulia na nyengine upande wa kushoto? (maama ake ana nywele ndefu), nikamwambia sijui, akanambia mama angu ana masikio makubwa sana , anayaficha yasionekane kama hivi masikio yangu yalivyo, akacheka sanaa, akanambia tumepata masikio ya mama etu sisi, hapo baba yao masikio yao sio mchezo, ila watoto wanaona ya mama yao yamezidi kabisa kwa vile anayaficha.
nikasema wow! kumbe hii familia nzima ina masikio makubwa, ila ni happy family, kwa sababu hawajali kabisaaa ( mama tuu ndio style ya nywele ndo hivyo tene)

kwa kukunasihi, wewe usijali kabisa songa mbele na ujue tuu binaadamu tumeumbwa tofauti kabisaa na asiyekuwa na hili ana lile.

mimi nimeshapata matatizo ya kuchokozwa , na mbaya zaidi kuna siku ambayo hiyo iliniumiza kweli mwalim wa darasa alinita jina baya kwa sauti mbele ya wanafunzi wote. kwa vile nilikuwa mwema kwa wanafunzi wenzangu, hawakucheka, ila iliniuma sana,

katika maisha jitihada za kimaisha zitapelekea kupendwa sana na watu wote vyovyote utakavyokuwa, uwe na heshima, ujue tuu una neema nyingi sana katika mwili wako, na ushukuru neema hizo, ukitaka kujua kuwa wewe upo normal. ingia youtube, uone viumbe ambavyo unaweza kustuka sana,
HILO TATIZO LA KUTAKA KUJIUA ACHANA NALO KABISAAA
 
Ubarikiwe sana mkuu [emoji120][emoji120]
 
Hauko serious wewe na kujiua,unaandika kwa furaha namna hii,anyway siku ukitaka kutimiza lengo lako nishtue nikupeleke sehemu nzuri ya kujinyongea hutojutia.
 
Atatafutaje hela mkuu wakati ni mwanafunzi na ni mtoto?
 
Usijali mkuu tafuta pesa hizo surgery utafanya kwa pesa yako, mbn mambo madogo tu hayo, kuna wengine wanamatatizo makubwa kuliko wewe duniani hapa tena wamehangaika na tiba hamna na wanakausha, unakuta mtu mwili unatoa harufu mbaya mda wote na anakaza itakuwa wewe tatizo dogo tu hilo.
 
Wewe bado mdogo sana. Wapuuzie wote hao wanaokucheka. Halafu hilo ni jambo dogo sana kwenye haya maisha. Hakikisha unafanya vizuri shuleni hadi mtaani
 
don't give a https://jamii.app/JFUserGuide kuhusu hayo maneno yao,19 yrs bado mdogo sana hujaenjoy mema ya dunia usijiue acha ufala
 
Kala hujajiua jipe muda tembelea orphanage uone wenye uhitaji pita na hosptal angalau moja uone wenye shida za kweli, JIKUBALI hii iwe silaha yako kubwa
 
sikiliza muziki,weka nyimbo za post malone,tekash,khalid,j balvin hapo utapata fleva nzuri za kuondoa stress, achana na na mawazo ya kujiua
 
Unamfahamu ginimbi!?,jifunze kutoka kwake,kila binadam ana mapungufu na kasoro yakee[emoji110]
 
Huyu naye ukisoma historia yake alikuwa bullied kama wewe sababu ya masikio. Lakini alipambana mpaka kufika huko alikofika. Kuna kusudi katika kila jambo mkuu. You will be OK [emoji1545][emoji1545][emoji1545]

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…