Vishu Mtata
JF-Expert Member
- Dec 15, 2019
- 15,954
- 35,415
Comments za hivi zinafanyaga mtu ajiue kweli. Sio poa kufanya hivi mkuu, members jf wengi wanakuja thread za hivi halafu watu kama wewe wanacomment mwanzoni kabisa mwa thread, mtu anajiona kweli hana thamani.Mkuu ukishajiua unipigie simu ili motor taarifa polisi waje kubeba Maiti🤪🤪🤪
Mkuu! Mi ni mcheshi sana na napenda sana utani, ila itoshe tu kusema kwamba hakuna utani Kati ya watu wasiofahamiana .. mtu tu amekukuta barabarani anaongea maneno mazito .. huo ndio unaoita utani ??relax enjoy maisha kuwa mcheshi wakikutania unawajibia humohumo kimzaha kuwakata vibe...it wont even matter miaka mitano tu ijayo hapo
Sio utoto mkuu, mi nadhani hujui jinsi gani inavyokata watu kukushangaa na wengine hata kucheka, ni dhahiri utakosa confidenceDogo Avatar Utoto pia unakusumbua... Deal with your own life..tafuta pesa uone kama hujasifiwa.. utasikia yule mkaka handsome ana masikio flani hivi amazing...
Fuga nywele style ya Afro.... Tatizo limeishaMkuu sio kama najishtukia, najaribu kwa kadri ya uwezo wangu ila wanayonifanyia watu ndo najikuta nashindwa ..
Jamaa alishaga jifia tanga September 2021, Mods wangeweka RIP pembezoni mwa jina lakeHuu ugonjwa ni hatari na unaua kwa Kasi sana mkuu nenda mhimbili pale Kuna icho kitengo watakusaidia aisee usijiue utaenda kuzimu ukateseke tu, pia kulingana na Imani yako nenda uka sali ukamuombe Mungu atakusaidia.
Namuongezea .... atazame na Kichwa cha Tupac... sema ndo hivo tu ... pesa... akala mademu wakali kibao...Soma na tafuta pesa kwa bidii,hayo yote utaona ni upuuzi na hata watu wataanza kukuiga hivyo ulivyo,umeshawahi kumuangalia vizuri masikio ya Will Smith! View attachment 1816082 ni kwasababu tu ana pesa na hakuna hata anaejali muonekano wake,kaa ukijua kuwa hakuna mtu alieumbwa kwa kukosewa hapa duniani,wote tunapendeza ni hivyo hatuna pesa tu...