Depression inaniathiri, nakaribia kujiua

Depression inaniathiri, nakaribia kujiua

Mkuu ukishajiua unipigie simu ili motor taarifa polisi waje kubeba Maiti🤪🤪🤪
Comments za hivi zinafanyaga mtu ajiue kweli. Sio poa kufanya hivi mkuu, members jf wengi wanakuja thread za hivi halafu watu kama wewe wanacomment mwanzoni kabisa mwa thread, mtu anajiona kweli hana thamani.

Jitahidi kua muungwana mkuu.
 
Vitu vidogo sana hivyo mdogoangu. Uliyoyapitia yanatosha. Uamue sasa wewe mwenyewe hutajuta tena ksbb ya hiyo. Kikubwa unachotakiwa upambane nacho pata pesa kwa njia yoyote,pambana sana. Yupo mwanamziki ni maarufu na tajiri mfupi ana masikio kama yako lakini anatoka na watu kama wema. Wapo majank kama Ak na Ukwa waigizaji wa Nigerian wafupi sana lakini wana mkwanja mrefu. Wanafurahia sana hali zao. Mpaka wanaomba warudiwe kuundwa ktk hali hizo hizo. TAFUTA HELA SANA. KOKOTE UTAKAKOPITA UTAKUWA HANDSOME
 
relax enjoy maisha kuwa mcheshi wakikutania unawajibia humohumo kimzaha kuwakata vibe...it wont even matter miaka mitano tu ijayo hapo
 
relax enjoy maisha kuwa mcheshi wakikutania unawajibia humohumo kimzaha kuwakata vibe...it wont even matter miaka mitano tu ijayo hapo
Mkuu! Mi ni mcheshi sana na napenda sana utani, ila itoshe tu kusema kwamba hakuna utani Kati ya watu wasiofahamiana .. mtu tu amekukuta barabarani anaongea maneno mazito .. huo ndio unaoita utani ??
 
Dogo Avatar Utoto pia unakusumbua... Deal with your own life..tafuta pesa uone kama hujasifiwa.. utasikia yule mkaka handsome ana masikio flani hivi amazing...
Sio utoto mkuu, mi nadhani hujui jinsi gani inavyokata watu kukushangaa na wengine hata kucheka, ni dhahiri utakosa confidence
 
Alafu hiyo point ya 'tafuta hela' imekua nyingi mno, ni kweli lakini hata hao watu mnaonipa mifano yao kama diamond binafsi sioni tatizo lolote hata kabla ya kupata hizo hela .. ninachomaanisha ni kwamba, mimi nikisimama mbele za watu lazima wacheke kimya kimya na sio mara moja au mara mbili

Wengi wenu mnadhani niko obsessed tu na masikio yangu kitu ambacho sio kweli, isingekua extreme bullying sidhani kama hata ningeandika huu Uzi .. kwahiyo wakuu lengo la kuandika huu Uzi ni kuomba kujua tu ni namna gani ya kudeal na depression na sio kitu chengine
 
Kama Hapa Duniani mwenye masikio ya hivyo ni wewe eke yako, Jinyonge fasta, ila kama kuna na wengine kama wewe, umshukuru mungu kwakuweza kusikia.
Kuna wenye masikio mazuri ila viziwi.. kazi ya masikio ni kusikia na kusikiliza kama yanaifanya hiyo kazi vizuri achana na habari za ubishoo wengi watakukubali na kukuelewa na ikitokea umetaniwa chukulia hiyo ni nick name tuu..

Unamjua Domokaya, tafuta chanzo cha hilo jina lake. Then acha Ujinga!!
 
Ni depression ama suppression.
Jiue tu kama unaona ndio suluhisho. Jiue jiue jiue
 
Tabia ya kuandika na kufuta thread post ninayo...ni sehem ya stress....

Sometimes ninaamua kunywaaaaaaa... but no relief.... ofsini inanisababishia... nahofia kuzinguana na boss watoto watakula nini..najiona ninamiliki maamuz magumu lkn napenda kuangalia footsteps..hata watoto Wana maisha baada ya Mimi.. napenda kuonyesha tabia njema the reality ninkwamba I am not. I tend to be very stupid person when it comes to these Matter
 
Huu ugonjwa ni hatari na unaua kwa Kasi sana mkuu nenda mhimbili pale Kuna icho kitengo watakusaidia aisee usijiue utaenda kuzimu ukateseke tu, pia kulingana na Imani yako nenda uka sali ukamuombe Mungu atakusaidia.
 
Huu ugonjwa ni hatari na unaua kwa Kasi sana mkuu nenda mhimbili pale Kuna icho kitengo watakusaidia aisee usijiue utaenda kuzimu ukateseke tu, pia kulingana na Imani yako nenda uka sali ukamuombe Mungu atakusaidia.
Jamaa alishaga jifia tanga September 2021, Mods wangeweka RIP pembezoni mwa jina lake
 
Soma na tafuta pesa kwa bidii,hayo yote utaona ni upuuzi na hata watu wataanza kukuiga hivyo ulivyo,umeshawahi kumuangalia vizuri masikio ya Will Smith! View attachment 1816082 ni kwasababu tu ana pesa na hakuna hata anaejali muonekano wake,kaa ukijua kuwa hakuna mtu alieumbwa kwa kukosewa hapa duniani,wote tunapendeza ni hivyo hatuna pesa tu...
Namuongezea .... atazame na Kichwa cha Tupac... sema ndo hivo tu ... pesa... akala mademu wakali kibao...
 
Back
Top Bottom