Depression inaniua

Sikumbuki kuvunjiana heshima popote na ww.
Tafadhali naomba tuheshimiane.
Kama hukumbuki basi mimi nakukumbusha sasa,

Soma comment yako # 77 jinsi ulivyonivunjia heshima,tena umequote comment yangu ambayo nilikua najadili jambo na mtu mwingine kabisa ukadandia na kashfa zako kwangu ulifikiri ningekuchekea?
 
It's heartbreaking, kuna pipo zinashangaza sana kwa kweli. Ndio ile tunasema "umeme umekatika kwetu au kote"? Akichungulia dirishani akaona giza kote anasema "afadhali"!

Tumekuwa watu wa kufurahia maanguko ya wenzetu, just coz tunapitia magumu, sad!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…