Depression inaniua

Depression inaniua

Pole sana bina, jaribu kuelezea kinachokusibu upate tiba japo kuna watu wa backbencher watakuzingua lakini wapo watakaokupa ushauri mzuri..!! FUNGUKA USAIDIKE
 
Kama hukumbuki basi mimi nakukumbusha sasa,

Soma comment yako # 77 jinsi ulivyonivunjia heshima,tena umequote comment yangu ambayo nilikua najadili jambo na mtu mwingine kabisa ukadandia na kashfa zako kwangu ulifikiri ningekuchekea?
Ww ndio ulianza Ice.
Sio kesi kausha tufanye yaishe.
 
Back
Top Bottom