Depression inaniua

Pole sana rafiki, jaribu nenda vituo vya tiba, soma hatua kwa hatua za tiba mtandaoni utakuwa sawa
Ikishindikana share nasi hapa utatoka salama hata kama ni material things watu ni bima mwaka huu utarudi unapopataka.
 
Nashukuru Kwa kuniongezea madini. Ni kweli lakini nilikua nanukuu alichoandika muhusika, sikua na maana ya kufurahia changamoto zake.

Lakini pia ikumbukwe kulia ni Moja ya dawa.
Mimi nikiwa na stress huwa natembelea hospital nikitoka hapo natoka na nguvu mpya kabisa maana nakutana na mtu ana umwa wa leo na kesho ila ana tabasamu najikuta ni mjinga narudi kupambana tena.
 
Mimi nikiwa na stress huwa natembelea hospital nikitoka hapo natoka na nguvu mpya kabisa maana nakutana na mtu ana umwa wa leo na kesho ila ana tabasamu najikuta ni mjinga narudi kupambana tena.
Bora wewe hua unatembelea hospital atleast huko utakuta kuna watu bado wana matumaini ya uhai,
Mimi hua natembelea Makaburi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…