Depression inaniua

Wewe utakua mpumbavu sio bure,
Huwezi kutoa ushauri

Sidhani kama kuna haja ya malumbano katika jambo ambalo muhusika ndiye analifahamu vyema, ushauri wangu ni akaze tu maana depression ni janga kubwa kwa maisha yetu ya sasa hasa vijana. Naamini ipo siku atakuwa sawa.
 
Kwanini afanye hivyo mkuu?
Mitandao na tv ni chanzo kikuu Cha depression
Ni huleta sonona
Ukiwa nayo mbali mwili hutengeneza usingizi mzuri na pumziko
Ukiwa nayo karibu itakuzuia kulala au hata kutoka nje upate fresh air hali ambayo huongezea msongo
Fake life and smiles zitakufanya ujione unlucky
Bullies ndio kabisa
 
Balehe utoke nyumbani ujue maisha ni nin.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…