raraa reree
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 11,504
- 35,520
Dooooh pole Lovelovie π muhimu ni afya pesa inatafutwa tuuNimeibiwa mara ya pili.
Ni biashara ni maisha yangu.
Nakemea pepo la deppression. Ha ha ha.Toa msaada mtumishi, fanyika baraka Kwa kutoa neno liponye nafsi ya mwenzetu.
Naomba nikufarijiDepression inaniua taratibu, sasa siwez hata ongea nikisema neno nalia.
Pole sana kipenzi nyumbani au kazini πNina bahati mbaya love.
Nimeibiwa.
Tafuta mganga ama shehe mumtupie majin huyo mwiziNimeibiwa mara ya pili.
Ni biashara ni maisha yangu.
Pole dearNina bahati mbaya love.
Nimeibiwa.
Zaburi 34:18 BWANA yu karibu nao waliovunjika moyo, Na waliopondeka roho huwaokoa.Nguvu ipi
Ya kulia au kujiua ?