Depression inaniua

Mashukuru Mungu kwa Maana yeye ndiye ajuae why amekupitisha kwenye mtihani huo na hakika atakupa furaha tena na tena .
Amen love.
Kuna store hua naweka vitu vyangu vya kazi.
Nikipata harusi au sherehe yoyote pesa nyingine nanunua vitu baadhi ambavyo sina.
Sasa dear nimekuta makufuli yameegeshwa na vitu vya muhimu vimebebwa.
😢😢

Mara ya kwanza 2021 nilifungua duka la nguo tena nikaibiwa nikaanza kurandaranda kazi.
 
Walaaniwe hao wezi 🙁
 
Pole sana Mungu atakupa zaidi ya hapo, ila tafakari kwanini limetokea kuna lazima kuwa na chanzo
 
Balehe utoke nyumbani ujue maisha ni nin.
Hiyo depression yako pambana nayo usitupigie kelele hapa,unafikiri ukubwa unapimwa kwa kua na depression? Kwahiyo wote wasiokua na depression hawajabalehe?

Unajisifia ujinga? Kua na depression ndio kipimo cha kua umebalehe? Pambana na matatizo yako au kama vipi nikupe namba ya muuza majeneza?
 
Sawa asante
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…