Lovelovie
JF-Expert Member
- Oct 2, 2021
- 12,582
- 26,053
- Thread starter
- #121
Amen love.Mashukuru Mungu kwa Maana yeye ndiye ajuae why amekupitisha kwenye mtihani huo na hakika atakupa furaha tena na tena .
Kuna store hua naweka vitu vyangu vya kazi.
Nikipata harusi au sherehe yoyote pesa nyingine nanunua vitu baadhi ambavyo sina.
Sasa dear nimekuta makufuli yameegeshwa na vitu vya muhimu vimebebwa.
😢😢
Mara ya kwanza 2021 nilifungua duka la nguo tena nikaibiwa nikaanza kurandaranda kazi.