Depression inaniua

Depression inaniua

Pole zenu
Screenshot_20240515_220809_WhatsApp.jpg
 
Nimempa tayari…akaze la sivyo ataondoka mapema….hakuna anaekujali duniani kila mtu yupo busy na mambo yake
Shida ni hii mtu unaona umempatia mtu kumbe anakulia timing anakutumia anakupa hela unaagiza mizigo anakuja kwa mtindo wa wizi anakuibia kila kitu halafu anakuita anakupa pole na anasepa au anakupa kapesa kadogo unaanza kila siku upya
 
Doooh! poleni...wanawake mnapitia mengi sana toka kwa fake sweeters!
 
Back
Top Bottom