zerominus10
JF-Expert Member
- Aug 25, 2022
- 8,142
- 13,721
Na Mimi pia nipo kwenye list na hio depression inajengwa na wanaotuzunguka, mfano mtu unamdai alafu anakuzungusha alafu ukicheck usawa wako upo vibaya unafikiri what's next ? Yaan mtu ana Pesa yako alafu wewe upo vibaya yeye hela ameikalia tu hataki kukupa lazima upate depressionAfya ya akili ni muhimu sana, wahanga wa depression kwa sasa ni sisi Vijanaππ©
Mimi nimejisemea tu kwa kweli.Kwahiyo kila mwenye kupitia wakati mgumu ni anawaza tu mapenzi π³?
N mrembo?Shida nini mrembo?
Nini wewe nyinyi wa 20-30 deepond kasema mnaongoza kwa depression πHaya sasa hayo majina mnayoitana soon mtu analiwa na kuchunwa
Siku ukiambiwa JIAJIRI ndio utajua how ?
π―π€usiweke watu moyoni
Ndio ni mrembo ulikua haujui kwani ?N mrembo?
We wakiume kaza kiume kama simbaUnakosea mkuu uliza shida nini shida dunian tuna changamoto nyingi sana sema watu hatujsfunguka mtu ukisema una mawazo unaambiwa kisa mapenzi make investigion in deep
Rajabu Zomboko ITV Hawavumi Lakini WamoKula chuma hicho
Hili swala haliitaji kupambanania ..mkuuπ€π€π€Ushafika? π
Sikuwa nalijua hilo mkuuNdio ni mrembo ulikua haujui kwani ?
πππ―π―We wakiume kaza kiume kama simba
Pole mkuu kwa changamotounamdai alafu anakuzungusha alafu ukicheck usawa wako upo vibaya unafikiri what's next ? Yaan mtu ana Pesa yako alafu wewe upo vibaya yeye hela ameikalia tu hataki kukupa lazima upate depression
Daaah! Watu wanacheza na fursa mwanawane ππHili swala haliitaji kupambanania ..mkuuπ€π€π€
Yaan fanya 20-45......hata aliye oa na kuolewa bado akili haijatulia eti bado anatafuta wa kufanana nayeπ€£π€£π€£π€£Na humu jf wamo wengi,
Sio wakike,sio wakiume
Hasa rika la 20-30
Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Hata sie wa 40+ mkuu, kuna midlife crisis umri unaenda na huna unalotimiza, watoto wanakuwa, shule, ujenzi, unaona kabisa umri unakutupa mkono...Na humu jf wamo wengi,
Sio wakike,sio wakiume
Hasa rika la 20-30
Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Basi ngaja niendelee na mishe zangu aisee. Mpeni ushauri peke yenu π π πUshafika? π