zerominus10
JF-Expert Member
- Aug 25, 2022
- 8,142
- 13,721
Na Mimi pia nipo kwenye list na hio depression inajengwa na wanaotuzunguka, mfano mtu unamdai alafu anakuzungusha alafu ukicheck usawa wako upo vibaya unafikiri what's next ? Yaan mtu ana Pesa yako alafu wewe upo vibaya yeye hela ameikalia tu hataki kukupa lazima upate depressionAfya ya akili ni muhimu sana, wahanga wa depression kwa sasa ni sisi Vijana💔😩