Depression is real

Yaani hapa nipo ndani, nilijaribu kutoka nikafika mpaka Kigamboni lakini sikuweza kukaa kule kabisa, nimerudi nipo ndani hapa tu.
 
Hapa sio poa, maana nina mishangazi yangu humu miwili, mjane mmoja, singo maza wawili na mwanachuo mmoja.
Wanaweza wakaleta noma...πŸ˜‹
Sasa hao ndio watazidi kunipa mawazo
 
Onana na majembe, watakukusanyia hilo deni ndani ya muda mfupi.
 
Afya ya akili ni muhimu sana, wahanga wa depression kwa sasa ni sisi VijanaπŸ’”πŸ˜©
Yes, Depression is not a desease, depression is a condition,depressio is a disorder.
Depression is the consequence of stagnation in life.
There is No medicine that can cure depression unless you start to accept things and move on.
Usithubutu kuanza kunywa hayo madawa ya "Antidepressants", utakunywa hadi siku unaenda kaburini.
Dawa pekee ni kukubaliana na hali halisi ya mambo unayokumbana nayo na kuendelea na maisha. Vijana wengi wanakuwa depressed sababu ya kushindwa kukubali hali.

Asante.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…