Ms eyes
JF-Expert Member
- Feb 4, 2023
- 4,757
- 11,922
- Thread starter
- #121
Yaani hapa nipo ndani, nilijaribu kutoka nikafika mpaka Kigamboni lakini sikuweza kukaa kule kabisa, nimerudi nipo ndani hapa tu.Ms eyes hamna namna tafuta jinsi ya ku-cope, jishughulishe sana ili usipate muda mwingi wa kukaa ovyo ovyo. Hata ukiwa idle jaribu ku-escape kupitia vitu kama movies, mziki n.k
Mimi nakumbuka nilivopunguza mda wa kukaa ovyo ovyo, depression ilipungua sana....