Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Afya ya akili ni muhimu sana, wahanga wa depression kwa sasa ni sisi Vijana💔😩
Wamekufanya nini?Afya ya akili ni muhimu sana, wahanga wa depression kwa sasa ni sisi Vijana💔😩
Unakosea mkuu uliza shida nini shida dunian tuna changamoto nyingi sana sema watu hatujsfunguka mtu ukisema una mawazo unaambiwa kisa mapenzi make investigion in deepUkikunwa vizuri, depression yote inaisha, tatizo utelezi mnafanya business wakati inatakiwa iwe bure, hasa nyie wasichana wa kileo.
Hili kundi ndo wamepagawa kabisaa hawaelewi waanzie wapi wamalizie wapiNa humu jf wamo wengi,
Sio wakike,sio wakiume
Hasa rika la 20-30
Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Kumbe mamy unajua english iv naomba uwe unanifundisha kwako usiku ukitoka kaziniMs eyes
I can feel you..am deeply sorry🤦👋
Just be cool with it..and don't stop being cool with it..A lot of people either run immediately or get tired of it and leave down the line...
Unakosea mkuu uliza shida nini shida dunian tuna changamoto nyingi sana sema watu hatujsfunguka mtu ukisema una mawazo unaambiwa kisa mapenzi make investigion in deep
Unakosea uki judge take evidance some time family issue99.9999% ni mapenzi kwa hawa, nawajua, so sio kitu kingine
Wanasema """Usidhani kila mtu atakuwa na moyo kama wako. Utaishia kuvunjika moyo kutegemea kutendewa wema kama unavyowatendea wengine""Ukitemwa chukua mbadala kwenye kabati songa mbele usiweke watu moyoni uliowakuta ukubwani hata kama ni mume
Lucha sikutegemea iyo kauli itoke kwako mkuuMwenye depression huwa hasemi inamtafuna mwenyewe ndani kwa ndani utamtambua tu kutokana na mabadiliko ya tabia kama kujitenga wakat zaman alikua hajitengi, kujihisi ametengwa, kuwa na mawazo,wasiwasi,kutokua na furaha na mabadiliko mengine
Nyie mnaosumbuliwa na mapenzi ndo huwa mnaongoza kuweka caption za "depression is real" futa kichwa cha uzi uandike "jamani nitongozeni"
🤓🤓🤓Kibaya ni kwamba tunakutana na watu sahihi kipindi tumeshaacha kuamini...Mwenye depression huwa hasemi inamtafuna mwenyewe ndani kwa ndani utamtambua tu kutokana na mabadiliko ya tabia kama kujitenga wakat zaman alikua hajitengi, kujihisi ametengwa, kuwa na mawazo,wasiwasi,kutokua na furaha na mabadiliko mengine
Nyie mnaosumbuliwa na mapenzi ndo huwa mnaongoza kuweka caption za "depression is real" futa kichwa cha uzi uandike "jamani nitongozeni"
HowCCM chanzo cha yote haya.
Ushafika? 😅Shida nini mrembo?