Depression Itaniua

Nyinyi si ndiyo mnakuwaga motiveshoni spika kwa majobulesi humu, ili wajiajiri? Umeona moto wake.
Hahaaaa huwa nawaambia watu life la kitaa ni nioko ,sasa imagine magraduate jobless wanamaliza vyuo wanasugua benchi ten years tena bila support yeyote wala Mtaji wala asset yeyote wala connection yeyote ya kupata kipato , qmamaΒ£ . Hawa wenye ajira Wana mitaji na assets hata za kukopa na connections mbalimbali Ila bado wanalilia ajira .Huyu ndugu yenu kamaliza miezi tisa Tu kitaa na Mtaji juu kachoma sasa hivi analia ,sasa imagine Sisi tusio na ajira miaka yote hiyo msoto tunaopitia , mpaka tumekuwa maninja kabisa , yaani unapigwa na msoto mpaka unaota sugu qmamaΒ£

Halafu kumer mmoja anawananga jobless , jobless tujengewe mnara kabisa na tuvikwe nyota
 
Napenda wanaume wa hivi sio limwanaume linajiliza liza eti maisha magumu au linaomba wanawake hela
 
Hilo tatizo ni dogo sana, watu Wana matatizo zaidi yako na still Wana matumaini, bora afya.
Biashara zote ni rahisi kwenye makaratasi. Mimi kabla ya kusimama jumla ya pesa nilizopoteza zinafika milioni 300 lakini, sikuhesabu kama ni hasara bali nimelipa tuition ya kupata uzoefu wa maisha. Nasonga
 
Kuna watu wana roho ya Ibilisi kabisa.
Mateso unayoyapitia ukienda kwa mitume na manabii bado watakupiga pesa tena.
Hope utapata kazi katika hiyo NGO na mambo yatakaa vizuri zaidi.
 
Mkuu umemjua huyu mtu?
 
Waaambie bank huna kazi kwa hivyp wastopishe kucharge riba kwy marejesho na riba kuu pia,ili uje badae ulipe principal. Haya mambo yanazungumzika vizuri na hao jamaa.Nyumba haiwezi kuuzwa kwa kua haikua dhamana ya mkopo hilo lipo wazi unless km uliiitoa kama amana ya mkopo hapo wanaweza kuiuza kisheria ila bado unaeza weka zuio la kimahakama kwa kua bado unapambana kutafuta kazi,pili ukipata chochote we tupia huko bank waone unapambana kuclear deni lao.
Maisha lazima yaendelee jitoe ufaham piga mishe yeyote cha msingi huibi cha mtu.
 
naomba kuuliza je ntajuaje kama nina kpaj cha biashara? Je ina mana nkifanya biashara mbili tatu zkafeli ndo sna kipaji cha biashara?
Kipaji cha biashara ni kuwa na roho ngumu kama gamba la kobe na kujinyima. Mtu kama mimi ambaye nikiotea kibunda lazma nile kuku sikuhiyo ni ngumu sana ku manage biashara sababu money management ni zoezi gumu kwangu.

Labda iwe biashara ya mtaji mkubwa ambao ukiuza unit 1 unaweza ukala na kusaza kwa faida yake. Ndio ntadumu dumu.

Siwezi kuteseka na njaa eti kuna laki 2 tu ya kununulia gunia la mchele, si nanyofoa elfu kumi nakula kwanza πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ kwa akili kama hizo hutoboi!
 
Hilo ni kosa kubwa sana atalifanya. Mie nina kanuni moja huwa siuzi asset hata kama nina njaa ya kuniua.

Roho ya kuuza uza vitu nilishaikataa kitambo sana baada ya kuona uzembe wa aina hio kwa mzee aliuza nyumba ya vyumba vitano kwa 7M mwanzoni mwa 2OOO's kwa kuendekeza njaa...Ile nyumba imepakana na ingine anayoishi kila nikienda home huwa naskitika tu sababu ingekuwepo leo asingekosa kuwa anakula kodi zake tu sahizi. Kama kuiuza hata 2010 tu ilikuwa inatoa hela 1O TIMES hela aliopokeaga.

Aliiuza afungue kampuni ila still kampuni haikufanikiwa nyumba ikaenda na kampuni ikamshindaga. Hawakuwahi kupata tender hata moja πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚. Hili linafundisha usiuze asset kwa sababu ya kuanzisha biashara lazma uyumbe.

Seven years ahead aka partner na mtu mwengine akafungua kampuni ingine ndio ikafanikiwa!
Poleni I feel what you go through
Uza nyumba then upange eneo cheap then Jitose kwa Biashara yenye mzunguko hope utatoboa vizuri.
 
yani suala la kuuza NYUMBA ALIONDOE KABISA AKILINI..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…