BARD AI
JF-Expert Member
- Jul 24, 2018
- 3,591
- 8,826
Kwa mujibu wa Shirika la Afya Duniani (WHO), Takriban 20% ya Watoto na Vijana duniani wana Tatizo la #AfyaYaAkili, ikiwa ni sababu ya Pili kwa kuchangia Vijana wenye miaka 15 hadi 29 kujiua duniani.
Pia, katika kila kundi la Watu 5 waliopo kwenye mazingira yenye Vurugu, mmojawapo anakabiliwa na tatizo la Afya ya Akili ambayo huathari mfumo wa maisha kuanzia Shuleni, Kazini, Uhusiano wa Familia na Marafiki na Uwezo wa kushiriki mambo ya Kijamii.
Magonjwa mawili ya Akili ambayo ni Unyogovu (Depression) na Wasiwasi Uliopitiliza (Anxiety), hugharimu Uchumi wa Dunia kwa zaidi ya Dola za Marekani Trilioni 2.3 kila mwaka.
==================
Mental health conditions are increasing worldwide. Mainly because of demographic changes, there has been a 13% rise in mental health conditions and substance use disorders in the last decade (to 2017). Mental health conditions now cause 1 in 5 years lived with disability.
Around 20% of the world’s children and adolescents have a mental health condition, with suicide the second leading cause of death among 15-29-year-olds. Approximately one in five people in post-conflict settings have a mental health condition.
Mental health conditions can have a substantial effect on all areas of life, such as school or work performance, relationships with family and friends and ability to participate in the community. Two of the most common mental health conditions, depression and anxiety, cost the global economy US$ 1 trillion each year.
Despite these figures, the global median of government health expenditure that goes to mental health is less than 2%.
WORLD HEALTH ORGANIZATION