Uto hujiamini mbona? inamaana na ubora wote mlokuwanao unatamani angalao upate japo kagoli kamoja? zile 5 na 3 hazipo tena?Sisi wazee wa jadi mechi tushaitazama wengine mkiwa mnasubiri kutazama kesho na matokeo ndo hivo kama nilivoeleza hapo juu
Goli la Yanga limefungwa dakika ya 71 na khalid Aucho kwa kichwa
Mechi ilikuwa nzuri sana upinzani ulikuwa mkubwa lakini ndo ivo Yanga ameshinda
Mimi kama shabiki wa Simba hii mechi imeniacha na majonzi lakini ndo hivo mambo ya mpira sina budi kukubali matokea
Matokeo ndo hayo kwa wale wanaotarajia kutazama marudio hapo kesho tarehe 5/11/2023
Hakuna haja ya kujisumbua
Matokeo nimewapeni tayari
Sent using Jamii Forums mobile app
Skudu hawezi kucheza mechi ya kiume kama ile, hata Gamond mwenyewe hawezi kurisk kumuanzisha.Hujamalizia kuangalia mechi, mi nimecheki hadi mwisho nikaona Yanga akishinda goli 3 Simba 0! Goli moja la Skudu!
Skudu hajaanza kucheza mpira 2020 af kacheza ligi kubwa ya South Africa, mechi kubwa dhidi ya timu kubwa kama mamelodi, kaizer, Orlando ndo ashindwe kucheza na hao vipori.Skudu hawezi kucheza mechi ya kiume kama ile, hata Gamond mwenyewe hawezi kurisk kumuanzisha.
Ndo kafunga mechi iliyoisha janaTangia lini ukamuona Aucho anapiga vichwa?
Tatizo wewe ni ArsenaliSisi wazee wa jadi mechi tushaitazama wengine mkiwa mnasubiri kutazama kesho na matokeo ndo hivo kama nilivoeleza hapo juu.
Goli la Yanga limefungwa dakika ya 71 na khalid Aucho kwa kichwa.
Mechi ilikuwa nzuri sana upinzani ulikuwa mkubwa lakini ndo hivyo Yanga ameshinda.
Mimi kama shabiki wa Simba hii mechi imeniacha na majonzi lakini ndo hivo mambo ya mpira sina budi kukubali matokeo.
Matokeo ndo hayo kwa wale wanaotarajia kutazama marudio hapo kesho tarehe 5/11/2023.
Hakuna haja ya kujisumbua
Matokeo nimewapeni tayari
Sent using Jamii Forums mobile app