ngara23
JF-Expert Member
- Aug 31, 2019
- 9,091
- 21,087
Sisi wazee wa jadi mechi tushaitazama wengine mkiwa mnasubiri kutazama kesho na matokeo ndo hivo kama nilivoeleza hapo juu.
Goli la Yanga limefungwa dakika ya 71 na khalid Aucho kwa kichwa.
Mechi ilikuwa nzuri sana upinzani ulikuwa mkubwa lakini ndo hivyo Yanga ameshinda.
Mimi kama shabiki wa Simba hii mechi imeniacha na majonzi lakini ndo hivo mambo ya mpira sina budi kukubali matokeo.
Matokeo ndo hayo kwa wale wanaotarajia kutazama marudio hapo kesho tarehe 5/11/2023.
Hakuna haja ya kujisumbua
Matokeo nimewapeni tayari
Sent using Jamii Forums mobile app