Derby ya Azam vs Young African ndio mechi yenye burudani zaidi kwa Tanzania

Derby ya Azam vs Young African ndio mechi yenye burudani zaidi kwa Tanzania

b413fa86-2968-4d8b-b329-5d071fbd78e3.jpg
 
Uzi mzuri Ila watu wa Simba na Yanga wameuharibu umekuwa mipasho.
 
Si unaona wamechezesha draw ili Yanga acheze na Azam na Simba acheze na Singida hizi zote ni karata
sema unawaogopa Azam mara ngapi Simba wamepangwa na Azam hata kombe la msimu uliopita walipambana na Simba siku chache baada ya Simba kutoka Morocco na kucheza na Namungo.
 
Ratiba ya kwanza ilikuwa ni Simba na Azzam, Mara tuna kuja kuambiwa ni Yanga na Azzam.

Halafu sijui nchi gani nyingine ngao ya Jamii inagombewa na timu 4?
Yaani pale Tifuatifua kuna shida sana dhidi ya Yanga.
 
Back
Top Bottom