Derby ya Boca Junior na River Plate sasa kupigwa Santiago Bernabeu

Derby ya Boca Junior na River Plate sasa kupigwa Santiago Bernabeu

Match day...

Binafsi nipo Boca Juniors..
Screenshot_2018-12-09-16-14-25-265_com.instagram.android.jpg
 
Hamna kitu hapo hii ni janjajanja tu ya kukuza ligi yao ipate more followers. Watu wanajua namna ya kutengeneza global kick
Ila kuna kaukweli....huwezi hamini hizi team nilikuwa sizijui lakini siku hiyo mechi hii lazima niicheki
 
Boca junior anaongoza ila game siyo tamu kabisa, tofauti na kelele zilizo nje ya uwanja.
 
Boca junior anaongoza ila game siyo tamu kabisa, tofauti na kelele zilizo nje ya uwanja.

Mkuu, Game iko poa kabisa, yani wanashambulia pande zote...alafu umecheki Boca Walivyofanya na kusababisha goli?
 
Hata sikuona udambwidambwi,game ya kawaida saaaan;

kama Biashara na Yanga tu![emoji51][emoji51][emoji51]
 
Hata sikuona udambwidambwi,game ya kawaida saaaan;

kama Biashara na Yanga tu![emoji51][emoji51][emoji51]

Wewe sio shabiki wa mpira mkuu,tumeaminishwa barcelona na madri ndo derby kubwa, ila hii ya Boca and BBVA ndiyo derby kubwa duniani.
 
Back
Top Bottom