BlackPanther
JF-Expert Member
- Nov 25, 2015
- 9,185
- 8,715
Mechi lini
Ahsante kwa taarifaTarehe 9 mkuu, saa 4:30 za usiku
Ahsante kwa taarifa
Ila kuna kaukweli....huwezi hamini hizi team nilikuwa sizijui lakini siku hiyo mechi hii lazima niichekiHamna kitu hapo hii ni janjajanja tu ya kukuza ligi yao ipate more followers. Watu wanajua namna ya kutengeneza global kick
Boca junior anaongoza ila game siyo tamu kabisa, tofauti na kelele zilizo nje ya uwanja.
Mi Niko na river plate.Mkuu, Game iko poa kabisa, yani wanashambulia pande zote...alafu umecheki Boca Walivyofanya na kusababisha goli?
Mi Niko na river plate.
Hii derby hii ni ya kijambazi sana.View attachment 963165
Hata sikuona udambwidambwi,game ya kawaida saaaan;
kama Biashara na Yanga tu![emoji51][emoji51][emoji51]