Derby ya Kariakoo inapoteza mvuto

We jisemeshe tuu,timu yako ikifungwa Ndio utajua Kama wapo au hawapo.
 
Bingwa wa league ni yanga
Bingwa wa FA ni yanga
Kwanini bungwa wa Ligi kuu asicheze na ngao ya jamii na makamu bingwa wa FA

Wanaandaa mazingira ya ligi ya ngao ya jamiu na nguvu ya waamuzi ili tu Yanga na simba zikutane
Kweli umenena vyema.
 
naamini kuuzwa/kukodishwa kwa bandari kumeunganisha Watanzania zaidi, naona mtaani kimya hakuna tambo zile za muda mrefu vijiweni, nyumbani au ofisi za watu
wengi mawazo yao yapo kwenye mkataba wa bandari, ugumu wa maisha, mafuta kupanda bei, kukosskana kwa dollar, na mengine mengi tunayopitia mtaani huku
 
Labda hiyo inaweza kuwa sababu nyingine
 
Kubali tuu....derby inapoteza mvuto. Ni kweli.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…