Unachokiwaza hakina maana yoyote kwa mpira wa Tanzania, viongozi wa hovyo wapo kila mahali nchi hii, haki itarejea pale ambapo kama taifa la wapenda soka wote wanaokwenda uwanjani watabeba silaha zao za baridi (sio za moto) na kuingia nazo uwanjani na waamuzi na mamlaka zikajua tunataka nini heshima itarejea na upuuzi utatamatika katika soka letuThough league yetu bado iko nyuma sana katika aspect ya referees. Ila isiwe hadi kwenye Dabi... makosa yaleyale na hata hao referees tunaodhani hawawezi kukosea?
Mechi ya juzi tumenyongwa wanasimba... tuichukulie Dabi serious, especially kama tunaamini ni ya 3 kwa bora africa. Vilabu vyetu ni vikubwa hili la kuchezesha dabi kama mechi za ndani ni kushusha thamani.
Naomba ufafanuzi hivi si mlesema Kama hatuna Imani refa tuje na refa wetu?sasa mnatuchanganya wana SimbaThough league yetu bado iko nyuma sana katika aspect ya referees. Ila isiwe hadi kwenye Dabi... makosa yaleyale na hata hao referees tunaodhani hawawezi kukosea?
Mechi ya juzi tumenyongwa wanasimba... tuichukulie Dabi serious, especially kama tunaamini ni ya 3 kwa bora africa. Vilabu vyetu ni vikubwa hili la kuchezesha dabi kama mechi za ndani ni kushusha thamani.
Ndo maana nikasema, bora dabi ichezeshwe na wageni.Ngoja nao waonje machungu tu, maana hivi vilabu vikubwa viwili huwa vinabebwa sana vinapocheza na vile vidogo kama akina Ihefu.
VAR iko wapi?
Weledi uko wapi?
Ushabiki maandazi mbona unaenea kwenye vitu vya msingi?
Watu wanaingiza siasa kwenye vitu vinavyohitaji taaluma na sayansi zaidi.
Kwamba tuwaige warabu sio?Unachokiwaza hakina maana yoyote kwa mpira wa Tanzania, viongozi wa hovyo wapo kila mahali nchi hii, haki itarejea pale ambapo kama taifa la wapenda soka wote wanaokwenda uwanjani watabeba silaha zao za baridi (sio za moto) na kuingia nazo uwanjani na waamuzi na mamlaka zikajua tunataka nini heshima itarejea na upuuzi utatamatika katika soka letu
Kumbe alikuwa Arajiga au Kayoko yule aliyechezesha mechi ya Yanga na Mamelodi, akaishia kulikataa lile goli la mstarini?Ndo maana nikasema, bora dabi ichezeshwe na wageni.
Hii ni kuonesha madudu yetu kimataifa, hilo swala la mkono wa vigogo lipo toka zamani.
Ishu sio maendeleo, hizi timu zinamashabiki nich mzima, hata hao marefa wanakuja wakiwa wameegemea upande mmoja. Wanakua manipulated kirahisi na vigogo.. Maendeleo yanapaswa kuletwa na shirikisho ambao nao ndo walewale tu.Kumbe alikuwa Arajiga au Kayoko yule aliyechezesha mechi ya Yanga na Mamelodi, akaishia kulikataa lile goli la mstarini?
^Hakuna mjomba atakayetoka Ulaya ili kuja kutuletea maendeleo,^ ndivyo alituasa Anko Joni.
Mtaendelea ku-outsource na kuliwa pesa na kupoteza ajira kwa wazawa sababu ya kosa kubwa la kutojua vipaumbele vikuu na jinsi ya kuvitekeleza.
Mnalalamika sana kwa sababu mlikuwa na matumaini makubwa ya kushinda ila kwa sisi wengine tulikuwa tunawashangaa tu.Though league yetu bado iko nyuma sana katika aspect ya referees. Ila isiwe hadi kwenye Dabi... makosa yaleyale na hata hao referees tunaodhani hawawezi kukosea?
Mechi ya juzi tumenyongwa wanasimba... tuichukulie Dabi serious, especially kama tunaamini ni ya 3 kwa bora africa. Vilabu vyetu ni vikubwa hili la kuchezesha dabi kama mechi za ndani ni kushusha thamani.
Kichapo kinaharibu watu akiliNaomba ufafanuzi hivi si mlesema Kama hatuna Imani refa tuje na refa wetu?sasa mnatuchanganya wana Simba
Hivi kati ya Simba na Yanga ni yupi alinyongwa zaidi?Though league yetu bado iko nyuma sana katika aspect ya referees. Ila isiwe hadi kwenye Dabi... makosa yaleyale na hata hao referees tunaodhani hawawezi kukosea?
Mechi ya juzi tumenyongwa wanasimba... tuichukulie Dabi serious, especially kama tunaamini ni ya 3 kwa bora africa. Vilabu vyetu ni vikubwa hili la kuchezesha dabi kama mechi za ndani ni kushusha thamani.
Soma Pia: FT: Simba 0 - 1 Yanga | NBC Premier League | Benjamin Mkapa Stadium | Oktoba 19, 2024
Mnatapa tapa sana.Though league yetu bado iko nyuma sana katika aspect ya referees. Ila isiwe hadi kwenye Dabi... makosa yaleyale na hata hao referees tunaodhani hawawezi kukosea?
Mechi ya juzi tumenyongwa wanasimba... tuichukulie Dabi serious, especially kama tunaamini ni ya 3 kwa bora africa. Vilabu vyetu ni vikubwa hili la kuchezesha dabi kama mechi za ndani ni kushusha thamani.
Soma Pia: FT: Simba 0 - 1 Yanga | NBC Premier League | Benjamin Mkapa Stadium | Oktoba 19, 2024
Hawa viumbe walistahili kabisa kuitwa mbumbumbu! Maana kabla ya mechi, mashabiki wengi wa Yanga tulikiwa hatuna imani na Kayoko! Ila wenyewe waliishia tu kutukejeli.Naomba ufafanuzi hivi si mlesema Kama hatuna Imani refa tuje na refa wetu?sasa mnatuchanganya wana Simba
Makosa ya kibinadamu yapo katika mechi nyingi, sio za derby tu. Makosa hayo pia yameifaidisha 5imba mara kadhaa.Though league yetu bado iko nyuma sana katika aspect ya referees. Ila isiwe hadi kwenye Dabi... makosa yaleyale na hata hao referees tunaodhani hawawezi kukosea?
Mechi ya juzi tumenyongwa wanasimba... tuichukulie Dabi serious, especially kama tunaamini ni ya 3 kwa bora africa. Vilabu vyetu ni vikubwa hili la kuchezesha dabi kama mechi za ndani ni kushusha thamani.
Soma Pia: FT: Simba 0 - 1 Yanga | NBC Premier League | Benjamin Mkapa Stadium | Oktoba 19, 2024
"Mwenye malalamiko na waamuzi apeleke maoni yake TFF" Ahmed AllyNdo maana nikasema, bora dabi ichezeshwe na wageni.
Hii ni kuonesha madudu yetu kimataifa, hilo swala la mkono wa vigogo lipo toka zamani.