Lycaon pictus
JF-Expert Member
- Jan 31, 2021
- 9,189
- 16,128
Simba walishangilia sana tulipodhulumiwa goli na Motsepe.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
TFF wakiondoa pamba zilizo ziba kwenye masikio yaoThough league yetu bado iko nyuma sana katika aspect ya referees. Ila isiwe hadi kwenye Dabi... makosa yaleyale na hata hao referees tunaodhani hawawezi kukosea?
Mechi ya juzi tumenyongwa wanasimba... tuichukulie Dabi serious, especially kama tunaamini ni ya 3 kwa bora africa. Vilabu vyetu ni vikubwa hili la kuchezesha dabi kama mechi za ndani ni kushusha thamani.
Soma Pia: FT: Simba 0 - 1 Yanga | NBC Premier League | Benjamin Mkapa Stadium | Oktoba 19, 2024
Hao mashabiki wa Simba hawautaki ukweliMnalalamika sana kwa sababu mlikuwa na matumaini makubwa ya kushinda ila kwa sisi wengine tulikuwa tunawashangaa tu.
Mimi ni mpenzi wa Simba ila nilipoona mechi na Coastal union,nikajua ngoma bado mbichi.
Tatizo lenu mashabiki wengi wa Simba mnaongea hovyo tu na kuwasifu wachezaji na hadi wao wanaingia kwenye upumbavu huo huo wa kujigamba bila kujua mnampa adui tahadhari ajiandae vuzuri kuwakabili.
Kwani mkiwaachia waseme wao mnapungukiwa nini?
Sent from my Infinix X626 using JamiiForums mobile app
Sidhani kama kuna gape kubwa kama mnavyo hisi. Hizi timu zote ziko sawa in terms of quality.Hao mashabiki wa Simba hawautaki ukweli
Yaani wanaona Simba anastahili kuifunga Yanga yenye mizizi kikosi cha Yanga Kimekaa muda mrefu
Kikosi cha Simba kina miezi minne ila mbumbumbu wapo hapa wanalia tu
Tulia Jenga timu, viongozi walete wachezaji quality