Derby ya Kariakoo isiamuliwe na Mtanzania tena

Sisi ndiyo Simba SC AKA;

1. Makolokolo SC.
2. Mbumbumbu SC.
3. Mipang'ang'a SC.
4. Malalamiko (Lialia) SC.
5. Makelele SC.
6. Madunduka SC.
7. Manyaunyau (mapaka) SC.
8. Mwakarobo SC.
9. Mikia SC.
10. Miso Misonda SC.
11. Manyang'au SC.
12. Mazumbukuku SC.
13. Mazombi SC.
14. Kinyume nyume SC.
15. Ngada SC.
16. Kolowizard SC
17. Zuwena SC.
18. Bebwabebwa (Mbeleko) SC.
19. Panya roads SC.
20. Kikanuni SC.
21. Kufa Kiume SC
22. Ubaya ubwege SC.
23. 5imba SC.
 
TFF wakiondoa pamba zilizo ziba kwenye masikio yao
 
Hao mashabiki wa Simba hawautaki ukweli
Yaani wanaona Simba anastahili kuifunga Yanga yenye mizizi kikosi cha Yanga Kimekaa muda mrefu

Kikosi cha Simba kina miezi minne ila mbumbumbu wapo hapa wanalia tu

Tulia Jenga timu, viongozi walete wachezaji quality
 
Sidhani kama kuna gape kubwa kama mnavyo hisi. Hizi timu zote ziko sawa in terms of quality.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…