Hahahaaaa!sio majaliwa ya Allah huyo?
we jamaa una utani wa ngumi, shauri yakoKUNA TIMU INA KOMBE LA MKOPO HAWAJALIPWA FC
Hakuna anyekatwa point, hii game itachezwa mwisho wa msimu, yaani ndio itakuwa game ya mwisho kufungia msimuhakuna lolote hawa hawana hoja,kiufupi mimi nawaunga mkono mpaka kasongo akawakate point 15
Tarehe 8 March, mlienda wapiTFF wanavuna walichopanda.Yanga walibebwa kwa kukubaliwa kushiriki kwenye ligi huku wakiwa hawaja register timu ya vijana kwa muda muafaka.TFF wakafunika kombe mwanaharamu apite ndio fadhila zao gongowazi.Mkawakubalia kudhamini timu 6 kupitia kwa mdhamini wao.Patna wao kupanga kikosi cha pili ili wapate advantage.Yote hayo mkakaa kimya.Leo chatu hajaridhika na kidogo anataka vyote.
Mtoto umleavyo ndio akuavyo.
Muulizeni kigogo wenu aliyepiga simu Simba wasiruhusiwe kuingia uwanjani.Bado hamjasema mtasema yote ni suala la muda tu.Tarehe 8 March, mlienda wapi
Kwahiyo tarehe 8 March mlizuiliwa kuingia uwanjani?Muulizeni kigogo wenu aliyepiga simu Simba wasiruhusiwe kuingia uwanjani.Bado hamjasema mtasema yote ni suala la muda tu.
Ndio tiefuefu utetezi wao?TFF wanavuna walichopanda.Yanga walibebwa kwa kukubaliwa kushiriki kwenye ligi huku wakiwa hawaja register timu ya vijana kwa muda muafaka.TFF wakafunika kombe mwanaharamu apite ndio fadhila zao gongowazi.Mkawakubalia kudhamini timu 6 kupitia kwa mdhamini wao.Patna wao kupanga kikosi cha pili ili wapate advantage.Yote hayo mkakaa kimya.Leo chatu hajaridhika na kidogo anataka vyote.
Mtoto umleavyo ndio akuavyo.