Derby ya Kariakoo TFF na Bodi ya ligi lindeni mali za uwanja kwa mchezo safi.

kavulata

JF-Expert Member
Joined
Aug 2, 2012
Posts
13,778
Reaction score
14,214
Asikwambie mtu bhana, Simba na Yanga ndizo timu zinazoendesha biashara ya mpira nchini; hata timu nyingine na Dar na mikoani mapato yao yanazitegemea Simba na Yanga; wadhamini wooote wanadhamini mpira kwasababu ya Simba na Yanga. Hivyo, nisingeona ajabu kama mechi zoooote zinazozihusisha Simba na Yanga, Simba au Yanga zikitumia VAR, waamuzi bora kabisa na kuwekewa sheria za ziada ili kutoa burudani, kuondoa malalamiko na kulinda mali za viwanja, usalama wa wachezaji na watazamaji na hata biashara za wadhamini wa timu na ligi.

TFF hakikisheni kuwa refa wa timu za simba na Yanga dhidi yao na timu nyingine zinachezeshwa kwa ubora wa hali ya juu ili kuzilinda mali za viwanja kama viti,majukwaa, na miundombinu mingine kwa kuepusha vurugu zinazosababishwa na waamuzi.

Dawa pekee ni kumfungia milele mwamuzi aliyegundulika pasipo shaka kuwa alifanya makusudi kuharibu mchezo. Mfano, yule mwamuzi aliyempa RED CARD MKOMBOZI WA nAMUNGo NA BAADAE kadi kufutwa alipaswa kufungiwa milele ili iwe fundisho.
 
Yanga inatandaza soka saafi uwanjani,tukifungwa, ni sehemu ya mchezo,tukishinda tunafurahi pamoja, simba ni kung`oa vitu,na wameshapigwa faini mala mala kibao.
 
TFF ni Simba Lialia, Yanga ijihadhari
 
Yanga inatandaza soka saafi uwanjani,tukifungwa, ni sehemu ya mchezo,tukishinda tunafurahi pamoja, simba ni kung`oa vitu,na wameshapigwa faini mala mala kibao.
Mpira una matokeo 3, lakini Tunataka mpira uchezwe kwa sheria 17 za mpira ili kushinda na kushindwa kusiwe chanzo cha uharibifu wa miundombinu ya uwanjani na maisha ya watu.

TFF na Bodi ya ligi wamekunja mikono yao nyuma wakati waamuzi, wasemaji wa timu na wachambuzi wazidi kuichochea jamii kupigana.
 
Back
Top Bottom