Derby ya mvua pangeni wachezaji wanaoweza kucheza kwenye mvua na tope tu

kavulata

JF-Expert Member
Joined
Aug 2, 2012
Posts
13,778
Reaction score
14,214
Ufundi kwenye mvua na tope ni kidogo kuliko nguvu.

Simba na Yanga kama mvua itaendelea hivi hadi siku ya mechi hakikisheni wanaopata nafasi ya kucheza ni wale wababe tu, aina ya Mzamiru, Mudathiri, Yao, Mzize, Kibu, Inonga, Gift, Aucho waonyeshane kazi.

Achana na types za Skudu, Nkane kwenye tope.
 
Umeandika hii mada yako huku tumboni kukiwa empty/ulikuwa umeshiba sana bila shaka.
 
Mmh mpira una tactics mbalimbali.......KILA timu ishawahi kucheza kwenye mvua hivo unachoongea hatukuelewi
 
Umeandika hii mada yako huku tumboni kukiwa empty/ulikuwa umeshiba sana bila shaka.
Niambie faza nimekosea wapi nijirudi, ukosoaji wa jumlajumla huwa unafanywa na wenye msongo wa mawazo. Mpira kwenye maji na tope haudundi na hautembei, wachezaji hawana mbio kwakuwa wanapiga mieleka muda wote. Mchezaji mwenye pumu hawezi kucheza kwa ufanisi kwenye madimbwi n tope na mvua. Survival of the fittest.
 
Ufundi kwenye mvua na tope ni kidogo kuliko nguvu.

Simba na Yanga kama mvua itaendelea hivi hadi siku ya mechi hakikisheni wanaopata nafasi ya kucheza ni wale wababe tu, aina ya Mzamiru, Mudathiri, Yao, Mzize, Kibu, Inonga, Gift, Aucho waonyeshane kazi.

Achana na types za Skudu, Nkane kwenye tope.
Wachezeshe kambale
 
Hayo ni mawazo yako tunayaheshimu ila sio sheria so kila kocha atapanga kulingana na anavyowajua wachezaji wake na wewe au mimi hatukai na wachezaji viwanja vya mazoezi na hatujui wataamka vipi so sisi tusubiri Vikosi na ushindi kwa Team.
 
Naangalia mechi ya kmc v Dodoma Jiji pitch ya uhuru stadium ipo Kwenye Kiwango bora sijui mkapa stadium wali feli wapi
 
Niambie faza nimekosea wapi nijirudi, ukosoaji wa jumlajumla huwa unafanywa na wenye msongo wa mawazo. Mpira kwenye maji na tope haudundi na hautembei, wachezaji hawana mbio kwakuwa wanapiga mieleka muda wote. Mchezaji mwenye pumu hawezi kucheza kwa ufanisi kwenye madimbwi n tope na mvua. Survival of the fittest.
Wachezaji wote wana sifa ya kucheza mpira kwenye mazingira yoyote yale, iwapo tu daktari wa timu atamthibitishia mwalimu kuhusu utimamu wao wa mwili.

Nje ya hapo, ni kwa hao wachezaji kuingia tu uwanjani na viatu vinavyoweza kuhimili utelezi kutokana na hiyo mvua. Na hakuna mchezaji wa kucheza kwenye mvua/jua. Ni vile tu mwalimu atakavyoamua kupanga kikosi chake.

Halafu hakuna mchezaji mwenye pumu anayeruhusiwa kucheza mpira kwa kiwango cha ligi kuu bhana. Hao wachezajo wote mpaka unawana hapo, wanakuwa wameshapimwa afya na kuonekana wapo fit.
 
Kwenye tope na madimbwi hakuna pira biliani bali Kuna pira hogo TU, hakuna waziri wa raha Wala maji bali Kuna nani anaweza kuupiga mpira kwa nguvu ili utembee kwenye maji.
 
Mzizee[emoji28][emoji28][emoji28]eti mzize uyo pimbi aki anza io game Yanga hamtoboi
 
Hii itakuwa ni mechi ya kugongana zaidi kuliko kucheza, mzize anaweza kugongana.
 
Wachezaji wote wana sifa ya kucheza mpira kwenye mazingira yoyote yale, iwapo tu daktari wa timu atamthibitishia mwalimu kuhusu utimamu wao wa mwili.

Nje ya hapo, ni kwa hao wachezaji kuingia tu uwanjani na viatu vinavyoweza kuhimili utelezi kutokana na hiyo mvua. Na hakuna mchezaji wa kucheza kwenye mvua/jua. Ni vile tu mwalimu atakavyoamua kupanga kikosi chake.

Halafu hakuna mchezaji mwenye pumu anayeruhusiwa kucheza mpira kwa kiwango cha ligi kuu bhana. Hao wachezajo wote mpaka unawana hapo, wanakuwa wameshapimwa afya na kuonekana wapo fit.
Kaka hii itakuwa ni mechi ya kugongana zaidi, objective football. Hakutakuwa na ufundi mwingi.
 
Back
Top Bottom