Umeandika hii mada yako huku tumboni kukiwa empty/ulikuwa umeshiba sana bila shaka.Ufundi kwenye mvua na tope ni kidogo kuliko nguvu.
Simba na Yanga kama mvua itaendelea hivi hadi siku ya mechi hakikisheni wanaopata nafasi ya kucheza ni wale wababe tu, aina ya Mzamiru, Mudathiri, Yao, Mzize, Kibu, Inonga, Gift, Aucho waonyeshane kazi.
Achana na types za Skudu, Nkane kwenye tope.
Mmh mpira una tactics mbalimbali.......KILA timu ishawahi kucheza kwenye mvua hivo unachoongea hatukuelewiUfundi kwenye mvua na tope ni kidogo kuliko nguvu.
Simba na Yanga kama mvua itaendelea hivi hadi siku ya mechi hakikisheni wanaopata nafasi ya kucheza ni wale wababe tu, aina ya Mzamiru, Mudathiri, Yao, Mzize, Kibu, Inonga, Gift, Aucho waonyeshane kazi.
Achana na types za Skudu, Nkane kwenye tope.
Niambie faza nimekosea wapi nijirudi, ukosoaji wa jumlajumla huwa unafanywa na wenye msongo wa mawazo. Mpira kwenye maji na tope haudundi na hautembei, wachezaji hawana mbio kwakuwa wanapiga mieleka muda wote. Mchezaji mwenye pumu hawezi kucheza kwa ufanisi kwenye madimbwi n tope na mvua. Survival of the fittest.Umeandika hii mada yako huku tumboni kukiwa empty/ulikuwa umeshiba sana bila shaka.
Wachezeshe kambaleUfundi kwenye mvua na tope ni kidogo kuliko nguvu.
Simba na Yanga kama mvua itaendelea hivi hadi siku ya mechi hakikisheni wanaopata nafasi ya kucheza ni wale wababe tu, aina ya Mzamiru, Mudathiri, Yao, Mzize, Kibu, Inonga, Gift, Aucho waonyeshane kazi.
Achana na types za Skudu, Nkane kwenye tope.
Wachezaji wote wana sifa ya kucheza mpira kwenye mazingira yoyote yale, iwapo tu daktari wa timu atamthibitishia mwalimu kuhusu utimamu wao wa mwili.Niambie faza nimekosea wapi nijirudi, ukosoaji wa jumlajumla huwa unafanywa na wenye msongo wa mawazo. Mpira kwenye maji na tope haudundi na hautembei, wachezaji hawana mbio kwakuwa wanapiga mieleka muda wote. Mchezaji mwenye pumu hawezi kucheza kwa ufanisi kwenye madimbwi n tope na mvua. Survival of the fittest.
Kwenye tope na madimbwi hakuna pira biliani bali Kuna pira hogo TU, hakuna waziri wa raha Wala maji bali Kuna nani anaweza kuupiga mpira kwa nguvu ili utembee kwenye maji.Wachezaji wote wana sifa ya kucheza mpira kwenye mazingira yoyote yale, iwapo tu daktari wa timu atamthibitishia mwalimu kuhusu utimamu wao wa mwili.
Nje ya hapo, ni kwa hao wachezaji kuingia tu uwanjani na viatu vinavyoweza kuhimili utelezi kutokana na hiyo mvua. Na hakuna mchezaji wa kucheza kwenye mvua/jua. Ni vile tu mwalimu atakavyoamua kupanga kikosi chake.
Halafu hakuna mchezaji mwenye pumu anayeruhusiwa kucheza mpira kwa kiwango cha ligi kuu bhana. Hao wachezajo wote mpaka unawana hapo, wanakuwa wameshapimwa afya na kuonekana wapo fit.
Kaka hii itakuwa ni mechi ya kugongana zaidi, objective football. Hakutakuwa na ufundi mwingi.Wachezaji wote wana sifa ya kucheza mpira kwenye mazingira yoyote yale, iwapo tu daktari wa timu atamthibitishia mwalimu kuhusu utimamu wao wa mwili.
Nje ya hapo, ni kwa hao wachezaji kuingia tu uwanjani na viatu vinavyoweza kuhimili utelezi kutokana na hiyo mvua. Na hakuna mchezaji wa kucheza kwenye mvua/jua. Ni vile tu mwalimu atakavyoamua kupanga kikosi chake.
Halafu hakuna mchezaji mwenye pumu anayeruhusiwa kucheza mpira kwa kiwango cha ligi kuu bhana. Hao wachezajo wote mpaka unawana hapo, wanakuwa wameshapimwa afya na kuonekana wapo fit.
Mmmh Nina wasiwasi na ww ...mpira umeanza kuufatilia ukubwani hata kuuchezea NI kwa mbindeDerby ni kumbakumba TU hakuna ufundi, kukiwa na matope ni kumbwekumbwe.