Unajipanga msimu ujao na wakati huo huo Yanga nae anajipangaMjipange msimu ujao
Derby ya kariakoo iwe sasa ni jangwani na chamazi,Msimbazi wameshakuwa mateja,wasaidiwe kwenda sober house.!Hongereni watani, hatuna kisingizio chochote mmetufunga kihalali.
Michezo 5 mfululizo Simba tunanyukwa,ni tofauti kwa Azam na Yanga, Simba hawana ubabe tena mbele ya Yanga tuwaweke kando kwenye derby iwe Azam na Yanga
Derby huwa mmoja hata awe dhaifu anakaza ila siyo kufungwa mara 5 mfululizo.
Nawasilisha.