Dereva aiba mafuta ya milioni 77 kisha achoma gari moto na kutokomea

Mmh Je Simba Oil amekamatwa?
 
Kakosea sana kulichoma,ni bora angekimbia tu
Lengo la kulichoma alitaka asiwe mtu wa kukimbia nia abaki bongo kampuni imwamini aendelee na kazi alijua likiwaka lote ushahidi ungekosekana na alishafaulu alipolitumbukiza kwenye korongo ila alikosea timing akaamsha nzi.

Hicho kitendo cha kulichoma angekifanya usiku mnene kumetulia mpaka watu wajizoe zoe kuamka wangekuta linamalizikia.
 
Mshahara sio kwa ajili ya familia unaajiriwa wewe na sio familia.
Wengi wao starehe mbele
 
Halafu kwa wataalamu wa jinai gari ya kuchoma na iliyolipuka baada ya ajali unazitofautisha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…