Dereva aiba mafuta ya milioni 77 kisha achoma gari moto na kutokomea

Dereva aiba mafuta ya milioni 77 kisha achoma gari moto na kutokomea

Lengo la kulichoma alitaka asiwe mtu wa kukimbia nia abaki bongo kampuni imwamini aendelee na kazi alijua likiwaka lote ushahidi ungekosekana na alishafaulu alipolitumbukiza kwenye korongo ila alikosea timing akaamsha nzi.

Hicho kitendo cha kulichoma angekifanya usiku mnene kumetulia mpaka watu wajizoe zoe kuamka wangekuta linamalizikia.
Pia huwa uuzi mafuta yote unaacha ya kuchomea
 
Wizi wa kishamba miaka ya 60 na 70 uko ndo michezo io ilikuwepo…
 
Jamaa ana bahati anasakwa, maana yake ni kuwa boss aliyemuibia kaamua kutumia sheria (naamini ni kwasababu ya mfungo). Tungesikia tu, jamaa kaja kuchukuliwa na wasio julikana na ingekuwa hivyo. Hii story ya kuwa aliiba tungekuja kuisikia baadae sana, ndiyo tungeweza kuunganisha matukio.

Yeah wote hao wana bahati. Wangepotezwa.
 
Back
Top Bottom