Dereva bora wa gari ni kujua automatic au manual

Dereva bora wa gari ni kujua automatic au manual

simba wa dodoma

JF-Expert Member
Joined
Aug 23, 2017
Posts
928
Reaction score
1,012
Leo nilikuwa napita zangu mtaani nikasikia watu wanabishana kuhusu gari. Kiukweli upande sina elimu ya magari na ujanja mwingi kujua gari mimi nachojua kuendesha tu.

Sasa jamaa wawili walikuwa wanabishana kwamba mwanaume unapaswa kuendesha gari Manual na sio Auto na mwanamke ndio inampasa kuendesha gari AUTO nikachukua hii mada nikaileta humu.

Hivi kweli teknolojia inavyokua kasi sana bado watu wanatamba na vitu Manual!

Tukifikia hivi Raisi ana kazi kutufikisha Tanzania ya viwanda, hasa kwa wananchi wa tz kujua manual itakusaidisha nini na kujitesa tu wakati mzungu sasa hivi anataka kutoka kwenye AUTo Gari na kwenda gari linalojiendesha barabarani!

Tumetoka kwenye simu za batami sasa hivi tunafuta tuu.

Tumetoka kwenye computer desktop sasa hivi tupo kwenye laptop.

Tumetoka kwenye chogo tv sasa hivi tupo flat screen

Tumetoka kwenye analogy sasa hivi tupo digital.

Huu ujinga sipendi sana kuusikiaga eti manual ndio dereva.

Huwa nashangaga sana nikisikia watu wanaongea huu ujinga siku hizi kuna hadi magari ya mizigo yanatumia auto.

Nimemaliza
 
Ukitaka kujua dereva yupi bora , omba kazi ya udereva kuanzia uraiani mpaka serikalini . Uone utapewa test na interview kwa gari aina gani ? NI MANUAL bila shaka.

Mwisho ni kuwa dereva alieanzia manual , automatic haimsumbui wala haitaji kujifunza . Lakini yule wa automatic hana ujanja kwa manual mpaka aanze upya kujifunza. BILA SHAKA UTAJUA YUPI NI BORA.
 
Computee destope ndio nini au unamaanisha desktop?

PC ni personal computer nadhani ulimaanisha laptop ingawa hata desktop nayo ni pc.

Turudi kwenye mada dereva mzuri ni yule anaye endesha magari yote manual na auto na semi manual.

Ila kwa upande wa car guy dereva mzuri ni yule kwenye uwezo wa kusukuma gari ya auto kama vile ni manual.
 
Manual anaweza kuendesha Automatic but
Automatic hawezi kuendesha Manual.
 
Kama ulivyosema mwenyewe, mada umeiokota mtaani/kijiweni na ukaileta hapa. Lengo upate maoni kipi ni bora kati ya manual cars na automatic. Cha ajabu umekuja na majibu yako ya kwamba automatic ni bora zaidi.

Inaonesha ulisemwa sana na hiyo ndinga unayosukuma. Anyway....usijali ndio walimwengu hao. Lakini kwa maoni yangu gari zote nzuri, na dereva mzuri ni yule anayeweza Manual, ukiweza manual automatic ni kumsukuma mlevi.
 
Dereva anatakiwa ajue zote iwe me au ke mfano ni nyumbani mume ni mgonjwa sana na ukute gari ya auto ina shida mke anachukua manual anamkimbiza mzee hospitalin
 
Haya maswali yakijinga..
Wewe hatakutumia akili nyepesi umeshindwa unaleta stori za barazani
 
Miaka 20 ijayo magari manual yatakuwa tuseme hayapo.

Tutabaki na gari zinajiendesha zenyewe.
 
Dereva anatakiwa ajue zote iwe me au ke mfano ni nyumbani mume ni mgonjwa sana na ukute gari ya auto ina shida mke anachukua manual anamkimbiza mzee hospitalin
Na kama mtaa mzima hauna gari la manual? Zipo auto tu?
 
Leo nilikuwa napita zangu mtaani nikasikia watu wanabishana kuhusu gari. Kiukweli upande sina elimu ya magari na ujanja mwingi kujua gari mimi nachojua kuendesha tu.

Sasa jamaa wawili walikuwa wanabishana kwamba mwanaume unapaswa kuendesha gari Manual na sio Auto na mwanamke ndio inampasa kuendesha gari AUTO nikachukua hii mada nikaileta humu.

Hivi kweli teknolojia inavyokua kasi sana bado watu wanatamba na vitu Manual!

Tukifikia hivi Raisi ana kazi kutufikisha Tanzania ya viwanda, hasa kwa wananchi wa tz kujua manual itakusaidisha nini na kujitesa tu wakati mzungu sasa hivi anataka kutoka kwenye AUTo Gari na kwenda gari linalojiendesha barabarani!

Tumetoka kwenye simu za batami sasa hivi tunafuta tuu.

Tumetoka kwenye computer desktop sasa hivi tupo kwenye laptop.

Tumetoka kwenye chogo tv sasa hivi tupo flat screen

Tumetoka kwenye analogy sasa hivi tupo digital.

Huu ujinga sipendi sana kuusikiaga eti manual ndio dereva.

Huwa nashangaga sana nikisikia watu wanaongea huu ujinga siku hizi kuna hadi magari ya mizigo yanatumia auto.

Nimemaliza

Kajifunze kuendesha gari za kiume.
 
Na kama mtaa mzima hauna gari la manual? Zipo auto tu?
Siongelei mtaa naongelea nyumbani na tukio ambalo lilitokea baba presha ilipanda usiku mama hawez kuendesha mpaka anatoka anaenda kumtafuta dereva kurudi baba kashaondoka ila angekuwa anajua angeokoa uhai
 
Leo nilikuwa napita zangu mtaani nikasikia watu wanabishana kuhusu gari. Kiukweli upande sina elimu ya magari na ujanja mwingi kujua gari mimi nachojua kuendesha tu.

Sasa jamaa wawili walikuwa wanabishana kwamba mwanaume unapaswa kuendesha gari Manual na sio Auto na mwanamke ndio inampasa kuendesha gari AUTO nikachukua hii mada nikaileta humu.

Hivi kweli teknolojia inavyokua kasi sana bado watu wanatamba na vitu Manual!

Tukifikia hivi Raisi ana kazi kutufikisha Tanzania ya viwanda, hasa kwa wananchi wa tz kujua manual itakusaidisha nini na kujitesa tu wakati mzungu sasa hivi anataka kutoka kwenye AUTo Gari na kwenda gari linalojiendesha barabarani!

Tumetoka kwenye simu za batami sasa hivi tunafuta tuu.

Tumetoka kwenye computer desktop sasa hivi tupo kwenye laptop.

Tumetoka kwenye chogo tv sasa hivi tupo flat screen

Tumetoka kwenye analogy sasa hivi tupo digital.

Huu ujinga sipendi sana kuusikiaga eti manual ndio dereva.

Huwa nashangaga sana nikisikia watu wanaongea huu ujinga siku hizi kuna hadi magari ya mizigo yanatumia auto.

Nimemaliza
Soma hii

Manual vs. Automatic Transmissions

manual-versus-automatic-transmissions
Whether driving a tractor-trailer truck or your own passenger vehicle, there are some people who enjoy the complete control they get by driving a manual transmission vehicle while others prefer the ease and simplicity of an automatic. In the personal vehicle market, fewer and fewer people are opting for manual transmission vehicles, in fact, you might be hard-pressed to walk onto a lot and find one.
In the trucking industry, manual transmissions have always been the standard. With as many as 18 gears to shift down, tractor-trailer trucks can be tricky to learn, especially for those who are inexperienced with driving a manual transmission vehicle. Recent trends have shown an increase in automatic transmissions coming off the assembly lines and hitting the roads, but which is better?
Manual transmission trucks are, of course, ones that the driver manually shifts the gears. Automatic trucks come in either fully automatic like an automatic car, or Automated Manual Transmissions or AMTs that have a gearbox shifted by a computer.

Control
For many, preference comes down to control. Being in control of when to shift up or down gives the driver more control over the truck. One of the biggest complaints about Automated Manual Transmissions is that they accelerate too slowly. The computer works its way through the gears efficiently as it is programmed to do, a driver would manually shift faster to gain momentum faster.

Ease
AMTs are simply easier to drive. When a driver doesn’t have to concentrate on shifting, he or she can focus on what’s happening on the road ahead. AMTs are considered to be safer than manuals that take greater focus. In heavy traffic, Manual Transmissions can be downright tedious. Not having to constantly shift gears as you creep along can make dealing with stressful traffic a little easier.
Shifting through all the gears can be tiring as well, although many drivers feel the opposite is true. Some people feel that driving an AMT is too relaxing and being too relaxed when driving a big rig can lead to drowsy driving and falling asleep behind the wheel. Drowsy driving is a huge problem for truckers who spend hours on end driving the country’s highways and is a leading cause of highway accidents.

Fuel Economy
Experienced truckers are generally good about driving to save fuel. If they’re owner/operators, fuel costs are one of their biggest expenses and for truckers who work for trucking companies, there are bonuses for adhering to the company’s fuel economy standards. When the computer is doing the shifting, gas mileage is maximized and the savings can be considerable, especially when the drivers are less experienced.

Driver Shortage
The U.S. is currently experiencing a severe truck driver shortage that is having an impact on shipping costs nationwide. For this reason, truck companies are looking to Automated Manual Transmissions or Automatics as a way to bring in more drivers. As the number of manual transmissions in cars diminishes, so does the number of young people who have ever driven a manual. Manual transmissions are seen as a hindrance to younger applicants who may find the thought of driving a manual transmission truck intimidating. AMTs are easier to be trained on, and the ease of training also shortens the training period.
The current average driving age in the U.S. is 55 with more drivers retiring than coming in to take their places. AMTs and Automatics allow older drivers to drive longer. When arthritis might stop a driver from being able to shift as they once did, an AMT makes it possible for them to put off retirement, which is a huge help to the industry.

Although lovers of Manual Transmissions may not like it, Automated Manual Transmissions are the direction the industry is headed due to their ability to save money through fuel economy, driver recruitment, driver retention, and safety.

Whether you drive a manual or automatic, Trucker Search provides a way for truckers to find a great company to work for or for shippers to find great truckers to join their team. Go to Trucker Search and begin your search today.
Sources:
https://truck-school.com/wordpress/how-many-gears-does-a-semi-have/
http://www.startribune.com/last-bastion-of-stick-shifts-semis-are-going-automated/492556851/
https://www.npr.org/2018/01/09/576752327/trucking-industry-struggles-with-growing-driver-shortage
https://www.trucker.com/equipment/amts-yes-or-n
 
Mimi napenda sana manual..nilijifunza manual 6 years ago ila toka hapo kuja kitaa sijagusa tena manual mana gari nyingi za manual ni SUV na wengi hatuna uwezo wa kununua hzo gari tunabaki na vi IST na Passo...

So swala la kipato pia linachangia wengi tujikute tunaendesha auto..
 
Leo nilikuwa napita zangu mtaani nikasikia watu wanabishana kuhusu gari. Kiukweli upande sina elimu ya magari na ujanja mwingi kujua gari mimi nachojua kuendesha tu.
Sasa jamaa wawili walikuwa wanabishana kwamba mwanaume unapaswa kuendesha gari Manual na sio Auto na mwanamke ndio inampasa kuendesha gari AUTO nikachukua hii mada nikaileta humu.
Hivi kweli teknolojia inavyokua kasi sana bado watu wanatamba na vitu Manual! Tukifikia hivi Raisi ana kazi kutufikisha Tanzania ya viwanda, hasa kwa wananchi wa tz kujua manual itakusaidisha nini na kujitesa tu wakati mzungu sasa hivi anataka kutoka kwenye AUTo Gari na kwenda gari linalojiendesha barabarani!
Tumetoka kwenye simu za batami sasa hivi tunafuta tuu.
Tumetoka kwenye computer desktop sasa hivi tupo kwenye laptop.
Tumetoka kwenye chogo tv sasa hivi tupo flat screen
Tumetoka kwenye analogy sasa hivi tupo digital.
Huu ujinga sipendi sana kuusikiaga eti manual ndio dereva.
Huwa nashangaga sana nikisikia watu wanaongea huu ujinga siku hizi kuna hadi magari ya mizigo yanatumia auto.
Nimemaliza
Mkuu, uliposema huna elimu au ujanja wa magari nilitegemea utaishia kwenye kuuliza swali ili wenye elimu na ujanja wakupe majibu. Ila naona umeendela mpaka kutoa msimamo wako.

Anyway, ngoja nikupe elimu kidogo. Automatic gearbox is almost as old as the concept of car itself. Maana idea ilianza miaka ya 1900s huko, kufikia 1930s ikawa imeshatengenezwa gearbox karibu na tunazotumia sasa kwenye gari nyingi hapa Bongo.

So kusema manual transmission ni technologia ya zamani, na automatic transmission ni ya kisasa, unaweza usiwe sahihi kivile.

Kuna advancements kibao kwenye both manual na automatic transmission. Na mpaka leo hii kuna gari mpya kabisa zinatoka kwenye production line na zinakuja na manual transmission as standard.

Ila kuweka msimamo wangu, manual transmission inampa dereva control kubwa kwenye gari kuliko automatic transmission. Ndio maana hata the best automatic transmission za leo zinakuwa na manual mode, japo sio ile ya clutch tuliyozea.

So mwisho wa siku ni kuangalia mahitaji yako. Kama unaendesha gari kama chombo cha usafiri hasa mjini, automatic transmission itakufaa saana. Ila kama unaendesha gari kama hobby au starehe as a driver, manual transmission itakufaa saana.

Mwisho kabisa. Ubora wa dereva haupimwi kwa kuendesha manual au automatic transmission. Ukienda chuo cha udereva kuna somo la Dereva Bora. Hakuna hata sememu moja wameongelea manual au automatic transmission.
 
Back
Top Bottom