Dereva bora wa gari ni kujua automatic au manual

Dereva bora wa gari ni kujua automatic au manual

Kabisa alafu kuwa na gari manual ni faida sana, omba omba wanapungua. Mtu anakuja kuazima gari unampa funguo anarudisha chapu anaacha uchafuzi hahaha.
Ukiwa na manual no kuombwaa [emoji23][emoji23][emoji23]

Ova
 
Dereva bora ni kulimudu gari hizo manual au automatic ni transmission tu.
 
The future always discourage manual engagement to be replaced with auto systems,ila kwa nyakati hizi kama wewe ni mtu wa kusafiri dar to bukoba likizo mara moja kwa mwaka aouto si mbaya ,ila kwenye intensive drive nadhani maarifa ya manual yatabaki kuwa juuu juuu zaidi
 
watu wengi wanaendeshea manual kwenye magari ya zamani kampuni nyingi zimeacha produce magari ya manual hata wakiproduce yananunuliwa machache .....i mean unaendesha gari its a mashine imebuniwa ili ikurahisishie maisha na kupunguza uchovu kullifanya zoezi la kuendesha kuwa rahisi ....utachagua mwwnyewe
 
Siongelei mtaa naongelea nyumbani na tukio ambalo lilitokea baba presha ilipanda usiku mama hawez kuendesha mpaka anatoka anaenda kumtafuta dereva kurudi baba kashaondoka ila angekuwa anajua angeokoa uhai
Dah!!!alifariki??
 
Miaka 20 ijayo magari manual yatakuwa tuseme hayapo.

Tutabaki na gari zinajiendesha zenyewe.
yapo ya 1970s kwenye sites za wauzaji, mbona hayachomwi moto? umri wa magari unayopishana nayo barabarani ni zaudi ya 20
 
yapo ya 1970s kwenye sites za wauzaji, mbona hayachomwi moto? umri wa magari unayopishana nayo barabarani ni zaudi ya 20
Ni huku kwenu Africa.

Mnanunua magari ya miaka 30 nyuma mnajiona mmenunua brand new.

Nikisema miaka 20 ijayo naongelea huku wanapotengeneza magari.
 
Ni huku kwenu Africa.

Mnanunua magari ya miaka 30 nyuma mnajiona mmenunua brand new.

Nikisema miaka 20 ijayo naongelea huku wanapotengeneza magari.
alas! kumbe huko juu kwenu! huko sawa, wazee wa 0km safi. lakini huku kwetu mjanja ni yule anayedaka hizo mnazozoelea taka na hawa ndio wanaotutishia amani na kuhatarisha visigino vyetu hasa sisi watembea kwa mguu.
 
Dunia sasa inaelekea kuwa na gari pasi dereva, sisi wabongo bado tu twataka ligi za manual vs auto transmission...
 
Unatakiwa ujue Manual na mengine yanakuwa Automatic kama ilivo gari la auto tu so udereva kwanza ujue zote but haimaanishi sasa ndio utakuwa dereva bora. Dereva bora sio manual wala auto ni yule anayezingatia utaratibu na yuko makini.

Haya sasa nilijifunza manual ila miaka sasa sijabahatika kuendesha manual tena hazipo sokoni kiivo...labdaninghekuwa dereva kabisa kikazi ndio ningepata..ila kwa matumizi binafsi ngumu nakutana na uto tu..so technology u change so wale waliojisifia kijiweni wao labda kazi zao ni uudereva kabisa....

Nilibahatika lifi ya carrie from office to mitaa karibu ya home na mzee mmoja wa kazini mtu mzima sasa dah nikaangalia i=nkawaza scenario itokee ili nishike usukani ila ndio hivo sasa nikaishia kuiona tu..but auto soemtimes zimejaa rahisi kuendesha...so ni kweli ila pia mambo ya mtaani kubishana usilete kwenye uhalisia sana..

Ila omba kazi kama dereva ndio utajua nini ninii
 
Halacu kingine gari nyingi ndogo ambazo wenye uchumi mdogo tunaziweza hazina matoleo ya manual..

Gari nying za manual ni SUV ambazo bei zake 20 milion +
 
Dunia sasa inaelekea kuwa na gari pasi dereva, sisi wabongo bado tu twataka ligi za manual vs auto transmission...
Nilijifunza kuendesha gari kupitia manual.

Ila nimezungukwa na magari ya auto tu.
 
Siku hizi tuna drive kwa mkono mmoja huu mkono mwingine una shika mapaja ya Baby watu wa manual hawana raha kama hizi
 
Dereva mzuri niyule anayezingatia sheria za usalama barabarani.hizo mambo za manual au auto ni ufinyu tu wa fikra kwasababu hayo ni mambo ya mabadiliko ya tekinolojia na uko tuendako tekinolojia ya manual inaenda ikipotea ni swala la muda tu.Mimi sidhani kama kuendesha gari manual ni ngumu zaidi kuliko kuendesha meli au ndege ila tunaona meli na ndege zote ni auto kwasababu kinachozingatiwa ni kanuni na utaratibu wakukifanya hicho chombo kiende.Nakwenye gari ni hivyo ivyo.
 
Dereva bora ni kuijua na kumiudu vyema gari yako pamona na kujua alama za barabarani na kuzifuata pindi unapokuwa unatumia barabara!

Mambo ya kujua kuendesha manual na automatic wala siyo issue.
 
Dereva bora wa gari ni yule anayezijuwa na kuzizingatia Sheria za Usalama barabarani, Kanui, Alama na michoro.

Anayejitambua na uwezo wa kuona, kutambua, kubashiri, kuamua na kutekeleza kwa wakati.

Mvumilivu, muwajibikaji, makini na anaye jiamini.

Uwe unajuwa "auto" na (au) "manual", kama huna sifa hizo hapo juu wewe si dereva bora.
____
Drive reaponsibly
Avoid reckelss driving.
 
Back
Top Bottom