Abuu Kauthar
JF-Expert Member
- Jul 10, 2011
- 4,296
- 6,492
Siku zote kwangu mimi
Kama mtu hujui kutumia manual
Huwa nakuona bado hujajua Gari!
Ova
Ukiwa na manual no kuombwaa [emoji23][emoji23][emoji23]Kabisa alafu kuwa na gari manual ni faida sana, omba omba wanapungua. Mtu anakuja kuazima gari unampa funguo anarudisha chapu anaacha uchafuzi hahaha.
Dah!!!alifariki??Siongelei mtaa naongelea nyumbani na tukio ambalo lilitokea baba presha ilipanda usiku mama hawez kuendesha mpaka anatoka anaenda kumtafuta dereva kurudi baba kashaondoka ila angekuwa anajua angeokoa uhai
yapo ya 1970s kwenye sites za wauzaji, mbona hayachomwi moto? umri wa magari unayopishana nayo barabarani ni zaudi ya 20Miaka 20 ijayo magari manual yatakuwa tuseme hayapo.
Tutabaki na gari zinajiendesha zenyewe.
Ni huku kwenu Africa.yapo ya 1970s kwenye sites za wauzaji, mbona hayachomwi moto? umri wa magari unayopishana nayo barabarani ni zaudi ya 20
alas! kumbe huko juu kwenu! huko sawa, wazee wa 0km safi. lakini huku kwetu mjanja ni yule anayedaka hizo mnazozoelea taka na hawa ndio wanaotutishia amani na kuhatarisha visigino vyetu hasa sisi watembea kwa mguu.Ni huku kwenu Africa.
Mnanunua magari ya miaka 30 nyuma mnajiona mmenunua brand new.
Nikisema miaka 20 ijayo naongelea huku wanapotengeneza magari.
Nilijifunza kuendesha gari kupitia manual.Dunia sasa inaelekea kuwa na gari pasi dereva, sisi wabongo bado tu twataka ligi za manual vs auto transmission...