dereva kumgonga kuku

mbogyo

JF-Expert Member
Joined
Dec 16, 2012
Posts
231
Reaction score
100
hivi ikitokea mtu unaendesha chombo cha moto km vile pkpk au gari kwa bahati mbaya mbele yako akakatza mfugo wa nyumbn km vile ng'ombe au kuku kwa ghafla na ukashndwa kufnga break nakumgonga Je sheria inasemaje kuhsu wakushtakiwa kati ya mwenye mfugo na dereva?
 
Sheria inamlinda Kondoo na Bata tu ambao ndio wanaohesabika ni wanyama wanye muelekeo maalum i.e Kondoo akiwa anavuka barabara ni angalabu kubabaika kurudi alikotokea,kadhalika bata!
 
Sheria inamlinda Kondoo na Bata tu ambao ndio wanaohesabika ni wanyama wanye muelekeo maalum i.e Kondoo akiwa anavuka barabara ni angalabu kubabaika kurudi alikotokea,kadhalika bata!

Kweli bana,Kuku na Mbuzi barabarani ni Micharuko kama ile misururu ya kimasai wakivuka barabara!
 
Ivi kunazo sheria za vitu hivie.
Vipi kuhusu mbwa?
 
Sheria iko kimya kuhusu hao viumbe
 
Wewe ni mmoja wa watu nliosikitika kutowaona nlipokuja Arusha...

oooh No.......nipo Mongolia siku hizi.....pls pls....ukitembelea Mongolia usisite kunijulisha..........tafadhali.....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…