Dereva na boss wake!!!

wa stendi

JF-Expert Member
Joined
Jul 7, 2016
Posts
25,190
Reaction score
27,434
Siku moja dereva wa baba mtakatifu walitoka kwenda kufanya shoping!!
Walipofika njiani papa akamwambia dereva!! Lete niendeshe mimi!!yaani Papa ndo aendeshe mwenyewe!!

Walipofika mbele kidogo! Wakamwona trafic. Yule trafic akanyoosha mkono kusimamisha gari!!yule dereva papa akasimamisha gari pembeni kidogo!!trafic akawa analisogelea..lile gari yule papa akashusha kioo yule trafic alipoona papa ndo anaendesha!!akakimbia speed kwenda kumwita boss wake!!

boss nae akaja akakuta ni papa anaendesha!!yule boss wa trafic nae akakimbia!!yule trafic mdogo nae akakimbia huku anamwuliza boss wake mkuu vipi mboma unakimbia??yule trafic boss akamjibu mwenzake ..

kama papa ndo anaendesha..yule wa pembeni atakuwa ni mungu!!!!!!!! Wote wakambia wakatokomea kusiko julikana!!
 
.......used...ilishatoka siku nyingiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii!!!!
 
Leo sijui nina umwa maana nimejikuta nakosa mvuto na hii thread bila mashaka malaria yangu inataka kunianza maana hizi ndio dalili za malaria yangu
 
Leo sijui nina umwa maana nimejikuta nakosa mvuto na hii thread bila mashaka malaria yangu inataka kunianza maana hizi ndio dalili za malaria yangu
Jinsi ulivyodundwa hivyo lazima utakuwa na naimonia tu.( angalia avator yako)
 
Leo sijui nina umwa maana nimejikuta nakosa mvuto na hii thread bila mashaka malaria yangu inataka kunianza maana hizi ndio dalili za malaria yangu
Kweli mkuu unaumwa aseee hata ovatar yako inaonyesha wee mgonjwa!!!
 
ngoja nisome tena ili nipate appetitte ya kucheka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…