wa stendi
JF-Expert Member
- Jul 7, 2016
- 25,190
- 27,434
Siku moja dereva wa baba mtakatifu walitoka kwenda kufanya shoping!!
Walipofika njiani papa akamwambia dereva!! Lete niendeshe mimi!!yaani Papa ndo aendeshe mwenyewe!!
Walipofika mbele kidogo! Wakamwona trafic. Yule trafic akanyoosha mkono kusimamisha gari!!yule dereva papa akasimamisha gari pembeni kidogo!!trafic akawa analisogelea..lile gari yule papa akashusha kioo yule trafic alipoona papa ndo anaendesha!!akakimbia speed kwenda kumwita boss wake!!
boss nae akaja akakuta ni papa anaendesha!!yule boss wa trafic nae akakimbia!!yule trafic mdogo nae akakimbia huku anamwuliza boss wake mkuu vipi mboma unakimbia??yule trafic boss akamjibu mwenzake ..
kama papa ndo anaendesha..yule wa pembeni atakuwa ni mungu!!!!!!!! Wote wakambia wakatokomea kusiko julikana!!