James_patrick_
Senior Member
- Mar 20, 2017
- 102
- 194
πππππMkuu ingia tu huko mitaani na kwenye magereji huku tupo majobless wenzio tunapunguza stress
Sawa nduguKw mfano juz Kati nilipita maeneo ya kisemvule nikakut watu wat wamekaa nje ya geti la Simba logistics nikauliza kun nn nikaambiw ni maderev wanatafutea ajira kuna maroli yalikuja hapo mengi.
Asante sanaKila la kheri mkuu
Borrro natafuta kaz ata ya utingo t m mzoef sanaaaaa braz Ninada sanaaa nakaz hii nko dodom Nina umri wa miak 22 naitwa Agusto nambar yangu ni 0686168123taesa wanazo nafasi za kazi kwa madereva kama una class E kwenye leseni yako na upo Dar es salaam hakikisha unaenda jumatatu...!