Dereva natafuta ajira.

Dereva natafuta ajira.

James_patrick_

Senior Member
Joined
Mar 20, 2017
Posts
102
Reaction score
194
Naitwa james patrick..nina miaka 29,elimu yangu ni form four pia kwa sasa naishi kunduchi..natafuta kazi ya udereva wa magari makubwa na madogo ambayo nina uzoefu nayo kwa muda wa miaka 12 sasa..nipo tayal kwa udereva wa aina yoyote ile ndani na nje ya mkoa wa dar..kwa mwenye kuhitaji dereva makini tuwasiliane kwa namba 0655778100 asante.
 
Mkuu ingia tu huko mitaani na kwenye magereji huku tupo majobless wenzio tunapunguza stress
 
Kw mfano juz Kati nilipita maeneo ya kisemvule nikakut watu wat wamekaa nje ya geti la Simba logistics nikauliza kun nn nikaambiw ni maderev wanatafutea ajira kuna maroli yalikuja hapo mengi.
 
taesa wanazo nafasi za kazi kwa madereva kama una class E kwenye leseni yako na upo Dar es salaam hakikisha unaenda jumatatu...!​
 
taesa wanazo nafasi za kazi kwa madereva kama una class E kwenye leseni yako na upo Dar es salaam hakikisha unaenda jumatatu...!​
Borrro natafuta kaz ata ya utingo t m mzoef sanaaaaa braz Ninada sanaaa nakaz hii nko dodom Nina umri wa miak 22 naitwa Agusto nambar yangu ni 0686168123
 
Back
Top Bottom