Dereva natafuta kazi

Dereva natafuta kazi

Madoido

Senior Member
Joined
Jan 24, 2011
Posts
134
Reaction score
15
Habari,

Kwanza napenda kushukuru kwa JF kutupa fursa ya habari mbalimbali, mimi ni kijana wa kiume na dereva mzuri nina leseni class E. Naishi Dar es Salaam, wadau naomba mnisaidie natafuta kazi. Unaweza wasiliana nami kwa. 0652 391 180.

Natanguliza shukrani
 
Kaka hilo jina unatupa mashaka sasa, madoido na barabarani wapi na wapi!..........

Otherwise nakutakia mafanikio nina imani utapata soon, hautaki daladala?
 
Kijana?

Mmmhhh...Udereva siku hizi ni bora kuajiri mzee wa makamo mwenye familia kubwa mjini. Manake gari ikiua dereva anaingia msituni halafu mwajiri ndio anatafutwa kwa arrest warrant amlete dereva polisi. Bora mwenye mji, mke, watoto kumi, ni rahisi kuwapeleka polisi nyumbani kwa derava na vigumu kukimbia familia yake.
 
Kila lakheri mkuu
Ridhiki popote ..
ongeza juhudi utapata tuu.
 
Nina mradi wa boda boda Kama uko makini wasiliana nami

+255 715828880
 
Mkuu daladala leseni yangu hainiruhusu....NASHUKURU SANA WADAU KWA USHAURI.......NAOMBA MTAMBUE KWAMBA BADO SIJAFANIKIWA

NAWAKILISHA
 
Jana kanisani kwetu wametangaza wanaitaji dereva awe class d.sharti muhimu na gumu uwe umeokoka location tabata-amani christian centre TAG.panda gari za tabta segerea shuka barakuda uliza madereva bodaboda lilipo kanisa deadline tarehe 27 NOV.
 
Jana kanisani kwetu wametangaza wanaitaji dereva awe class d.sharti muhimu na gumu uwe umeokoka location tabata-amani christian centre TAG.panda gari za tabta segerea shuka barakuda uliza madereva bodaboda lilipo kanisa deadline tarehe 27 NOV.
Hii ni nzuri! Lakini the last I remember gia za gari hazijui Bible. I'll tel a friend of mine I think ana sifa zote
 
Kwa wale wasiojua, class E inaruhusu magari makubwa ya mizigo tu.
 
Back
Top Bottom