Dereva pikipiki afariki baada ya kugonga Bundi Tanga

Dereva pikipiki afariki baada ya kugonga Bundi Tanga

Kikwajuni One

JF-Expert Member
Joined
Mar 18, 2013
Posts
13,149
Reaction score
6,994
Dereva pikipiki ya Afisa mifugo Wilaya ya Handeni Mkoani Tanga, Abel Adamson Mwaipopo (25) amefariki Dunia baada kumgonga Bundi na Kisha pikipiki take kupoteza muelekeo na kuanguka na hatinaye kupoteza maisha.
 
Huyu Abel Mwaipopo sio dereva pikipiki ya afisa mifugo wa wilaya. Ila pia na yeye ni Afisa mifugo aliyekuwa anajitolea wilayani. Anadiploma na afya ya wanyama na uzalishaji aliyohitimu mwaka 2021 LITA mpwapwa. Taarifa zenu mzichukue vizuri kutoka Kwa wahusika ili zisilete mkanganyiko.
 
Mbona bado mnakosea heading tena? Huyo ni muendesha pikipiki na si bodaboda. Bodaboda ni wale wanaosafirisha watu hapa na pale
 
Back
Top Bottom