Dereva pikipiki ya Afisa mifugo Wilaya ya Handeni Mkoani Tanga, Abel Adamson Mwaipopo (25) amefariki Dunia baada kumgonga Bundi na Kisha pikipiki take kupoteza muelekeo na kuanguka na hatinaye kupoteza maisha.
Dereva pikipiki ya Afisa mifugo Wilaya ya Handeni Mkoani Tanga,Abel Adamson Mwaipopo (25) amefariki Dunia baada kumgonga Bundi na Kisha pikipiki take kupoteza muelekeo na kuanguka na hatinaye kupoteza maish.
Dereva pikipiki ya Afisa mifugo Wilaya ya Handeni Mkoani Tanga, Abel Adamson Mwaipopo (25) amefariki Dunia baada kumgonga Bundi na Kisha pikipiki take kupoteza muelekeo na kuanguka na hatinaye kupoteza maisha.
Huyu Abel Mwaipopo sio dereva pikipiki ya afisa mifugo wa wilaya. Ila pia na yeye ni Afisa mifugo aliyekuwa anajitolea wilayani. Anadiploma na afya ya wanyama na uzalishaji aliyohitimu mwaka 2021 LITA mpwapwa. Taarifa zenu mzichukue vizuri kutoka Kwa wahusika ili zisilete mkanganyiko.