Omary scotten
Member
- Dec 13, 2022
- 8
- 2
Habari, naitwa omary ni dereva timamu,sina usumbufu kwenye mali ya mtu uwaminifu 100%.naweza kuendesha gari na Bajaji kwa boss yeyote mwenye uhitaji katika chombo kimoja wapo tajwa hapo juu iwe ya hesabu au mkataba pia iwe ya gesi au petrol tuwasiliane 0654037276.Nina uzoefu wa miaka 2 katika kazi za udereva wa mtandaoni pia nina vielelezo vyote vya kazi pia naishi Buza,Dar es salaam.Ahsanteni