Dereva wa Bajaji anahitajka

Dereva wa Bajaji anahitajka

kayimukaa

JF-Expert Member
Joined
Jan 8, 2014
Posts
492
Reaction score
659
Heshima zenu wakuu, natafuta dereva wa Bajaji ambaye amejiunga Uber na Bolt kwa ajili ya biashara ya Bajaji. Awe mkazi wa dar maeneo ya Tabata, Mwenge, Msasani, Mikocheni au Kawe au maeneo ya karibu.

Dereva awe na leseni, kitambulisho Cha taifa, barua ya utambulisho na pia awe mchapakazi hasa na sio ujanja ujanja na visingizio. Kipande kwa siku Ni tsh 15,000 Bajaji ipo kwenye hali nzuri Sana.

Mawasiliano
0620704530
 
naomba iyo kaz mkuu ila nipo mbeya
 
Back
Top Bottom