MINOCYCLINE
JF-Expert Member
- Apr 2, 2015
- 8,018
- 16,802
atajitangaza rais wa maisha..... msidanganyikekwa sababu sihitaji kupigiwa kura wala sigombei tena Urais.
This is rubbish, hufanyi kwa vle hutagombea urais, hufanyi kwa vile there is a good reason for not doing that!"Katika miaka hii mitano nitakuwa mkali ninyi, kwa sababu sihitaji kupigiwa kura wala sigombei tena Urais. Katika miaka hii watakoma wasaidizi wangu. Ambao hawahitaji kuwa mawaziri au wakuu wa mikoa, wakuu wa wilaya ni afadhali waachie."- Rais Dkt. @MagufuliJP mkoani Kagera..
Hivi lile Ombi muhimu na kubwa lake Mbunge Msukuma kuwa Viongozi wote hadi VIP's wapimwe kama Wanavuta Bangi sana lilishia wapi Ndugu?This is rubbish, hufanyi kwa vle hutagombea urais, hufanyi kwa vile there is a good reason for not doing that!
Mitano under pressure."Katika miaka hii mitano nitakuwa mkali ninyi, kwa sababu sihitaji kupigiwa kura wala sigombei tena Urais. Katika miaka hii watakoma wasaidizi wangu. Ambao hawahitaji kuwa mawaziri au wakuu wa mikoa, wakuu wa wilaya ni afadhali waachie."- Rais Dkt. @MagufuliJP mkoani Kagera...
Kagame akiyasema haya miaka 15 iliyopita wanyarwanda wakamwamini lkn hadi leo yuko ikulu.sigombei tena Urais
Point. Do what is rightThis is rubbish, hufanyi kwa vle hutagombea urais, hufanyi kwa vile there is a good reason for not doing that!
Urafiki wako umeshakwisha na sasa nchi zote mbili zinafanyiana mno Ujasusi na huenda huko mbele yale yale ya Kipindi cha JK na PK yakajirejea.Kagame akiyasema haya miaka 15 iliyopita wanyarwanda wakamwamini lkn hadi leo yuko ikulu.
N.B: Jiwe ni swahiba wa PK
Ameona vigezo vinamzuia kuwa Rais wa maisha. Afya ndiyo kigezo kikubwa. Isitoshe ameshuhudia mwenyewe wakati wa kampeni za 2020 ni kiasi gani raia HAWAMPENDI.atajitangaza rais wa maisha..... msidanganyike
Jiwe hana rafiki duniani lqbda mbinguniUrafiki wako umeshakwisha na sasa nchi zote mbili zinafanyiana mno Ujasusi na huenda huko mbele yale yale ya Kipindi cha JK na PK yakajirejea.
Dictators never care! " Power becomes destructive when it disjoins itself from remorse" c&pAmeona vigezo vinamzuia kuwa Rais wa maisha. Afya ndiyo kigezo kikubwa. Isitoshe ameshuhudia mwenyewe wakati wa kampeni za 2020 ni kiasi gani raia HAWAMPENDI.
Ile mbinu ya kutumia ma DSO kandika matokeo hawezi kufanikiwa 2025
Kuna Mmoja hapa Kaufyata huku mwingine Ushirikina wake ukianza Kumgeuka na Kutaabika na mwingine anatafutiwa timing tu amalizwe ( RIP )Wapi Kinana,wapi Makonda,
Wapi MUSIBA.???