MINOCYCLINE
JF-Expert Member
- Apr 2, 2015
- 8,018
- 16,802
"Katika miaka hii mitano nitakuwa mkali ninyi, kwa sababu sihitaji kupigiwa kura wala sigombei tena Urais. Katika miaka hii watakoma wasaidizi wangu. Ambao hawahitaji kuwa mawaziri au wakuu wa mikoa, wakuu wa wilaya ni afadhali waachie."- Rais Dkt. @MagufuliJP mkoani Kagera.
Sasa All - Rounder nimeshajua ni kwanini hivi sasa Madereva wasaidizi nao wameamua Kuuwasha Moto kwa Kupiga Viboko na Kukomoa Watu.
Taarifa: swahilitimes
Sasa All - Rounder nimeshajua ni kwanini hivi sasa Madereva wasaidizi nao wameamua Kuuwasha Moto kwa Kupiga Viboko na Kukomoa Watu.
Taarifa: swahilitimes